Mtu upigwe risasi kwenye taya na haionyeshi ilikotokea wala haikutolewa mwiliNI uweze kusema. Ati Sativa imewezekana?!
mtu alikuwa ametwa, hakwa kwenye mtandao ila alikuwa anafatilia washikaji...
Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na...
Mheshimiwa Mpina amesema amesoma Vitabu Vyote vya Dini kuhusu habari za Yesu Kristo, Mtume Muhammad saw, Daudi na Daniel hivyo yuko Imara kweli kweli na hajawahi kushindwa
Mpina amesema hakunaga...
Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia...
https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd
Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi?
Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao...
Dunia kwa sasa inhitaji watu wenye uwezo kama Tundu Lissu.
Dunia kwa sasa inahitaji watu wenye akili kama Tundu Lissu
Tanzania kwa sasa inatmhitaji watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchanganua...
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Kanda ndugu MSIGWA ameanza kutoka vimanenomaneno na vyomba vya habari kuhusu kuhujumiwa.
WEWE MSIGWA CHADEMA WANAKUJUA kwamba WEWE ni kijana wa mwendazake...
Ngoja tuone
Mbunge ( CCM) anamshtaki mahakamani mteule wa Rais ( mwenyekiti wa CCM)
Hapa Mpina na Bashe wanaweza kufungua Ukurasa mpya wa Siasa za Bongo
Dominica Njema 😀😀
SIRI za baadhi ya vigogo Serikalini zilizofichwa kwa muda mrefu sasa zimeanza kuibuka huku kukiwa na taarifa zinazodai kuwa kundi la mahasimu wa kisiasa wa vigogo hao limepanga kutumia siri hizo...
Baada ya waziri wa Uwekezaji Prof Mkumbo kukiri kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ni akili kubwa, safari hii waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa nae amekiri kuwa Paul Makonda ni mkuu wa mkoa...
"Kwenye suala la Bunge, Bunge letu ni kubwa ukilinganisha na wafadhili wetu (Marekani inatufadhili, India inatufadhili nk), sisi Tanzania tuna watu milioni 60+, Marekani ina watu milioni 350+...
Malawi, Kenya na Zambia kuna umasikini mkubwa sana sikatia hilo, ila raia walisha jitambua miaka mingi ilio pita, hakuna boya huko, hii ndo inawapa ugumu watawala wa hizo nchi, Tanzania sasa tuna...
Rais Ruto ameshauri iundwe Kamati ya Watu 100 itakayoweka Mpango wa namna ya kulipa deni la Taifa linalolielemea Taifa
Aidha Kamati itatengeneza Mpango wa Ajira Kwa vijana wote
Rais Ruto amesema...
Kati ya Mambo ambayo yatakuja kukiondoa Chama cha Mapinduzi madarakani ni namna ambavyo hawagawi kwa usawa keki ya taifa.
Siku Watanzania wakipata akili na kusema kwa nini hapa kwetu tunachangia...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar...
Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca ameitaka serikali kupiga marufuku Waigizaji wa Kiume kuigiza kama Wanawake
Jesca amesema Wanaume hawa wakishazoea kuigiza kama Wanawake wanaweza kujisahau na...
Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi...
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao...
Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.
Wanasheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.