Tukikubali hata kinadharia kuwa chombo cha utendaji kinaweza kuanzisha na kuendesha uchunguzi dhidi ya mbunge au kundi la wabunge tutakuwa tumekubali jambo la hatari sana. Itakuwaje huko mbeleni...
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Edga Mwakabela (Sativa)...
Walimu hawataki mihadhara wanataka noti kwenye mishahara yao.
Maneno sio hela wala chakula kwa walimu,kama mna nia ya dhati maneno na mihadhara ya nini!!?
Kwani mlipowapandisha vyeo 2021 baada...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000 wa shahada ya kwanza ambao ni...
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Pastory Mnyeti ana doa la rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, kukiuka misingi ya utawala bora na inapendekezwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala...
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema Hofu ni kikwazo cha kuwawajibisha wale ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza
Tukatae Hofu, Tukatae Watoto Wetu kujengewa Hofu ya Watawala amesisitiza mh...
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje, kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja...
Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu...
Mbunge wa Misungwi, Alexander Mnyeti amesomewa Mashtaka Mahakamani kwa kosa la Matumizi mabaya ya madaraka.
Imesemwa Mahakamani Mbele ya Jaji John Kahyoza kwamba, Ndugu Mnyeti akiwa Mkuu wa Mkoa...
Sio Afya njema kutoa taarifa ambazo hazina uhakika kila linapotokea tukio, kufanya hivyo ni kuongeza taharuki, chuki au kuzidisha sintofahamu.
Kuna Mtanzania mwenzetu amepata matatizo ya kutekwa...
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na...
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
Ameandika Wakili msomi.
👇
"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa...
Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu...
Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.
Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko...
Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea.
Kwanini wanaharibu miundombinu.
Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke.
Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi...
Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama...
Hivi mnaonaje mtu ambaye anauza ahadi kwa huakika wa mshahara wa mamilion ya pesa, na hata asipotimiza ahadi zetu yeye vyake tunamtimizia kisheria kabisa na familia yake wanakuwa salama.
Ni vipi...
Wakuu uwepo wa Mungu upo juu yenu
Kwenye mada moja kwa moja wakuu
Naomba kuweka hili jambo wazi, rafiki yako ni wewe mwenyewe, ongeza na wazazi wako basi.
Unaweza kuwa na rafiki wa karibu...
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.