Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nakumbuka mtangazaji nguli mh Kitenge wakati anamponda Zuhura na kusema Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya sana alimsifia Mno Msemaji mkuu wa Serikali mh Matinyi Kitenge alisema Baada ya VoA...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Hili swali nimejiuliza sana mana wanakoelekea wanaweza kucoma.mabank.
1 Reactions
4 Replies
209 Views
DED BAGAMOYO ALILIA BANDARI Na: Edgar Nazar, Bagamoyo MKURUGENZI mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda ametoa kilio kwa Naibu waziri wa uchukuzi kuwa bandari ya...
1 Reactions
4 Replies
295 Views
Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!? Madai ya wafanyakazi; 1.Kupinga kanuni za kikokotoo cha mafao...
3 Reactions
6 Replies
266 Views
Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni...
4 Reactions
10 Replies
379 Views
Katika ukurasa wake wa X (Twitter) Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini amepongeza harakati zinazofanywa na Luhanga mpina katika kupambania maslahi ya nchi. Katika...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri, Mimi ni katika waumini wa Muungano, na kawaida hua naupigia chapuo kutokana na manufaa yake kwa pande zote mbili. Lakini hii ya leo imenifanya nishindwe kuvumilia...
0 Reactions
3 Replies
239 Views
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM. Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu...
12 Reactions
34 Replies
823 Views
Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo. Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia...
7 Reactions
20 Replies
878 Views
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi...
1 Reactions
108 Replies
5K Views
Nijuavyo leseni ya kila Biashara ina masharti yake na hakuna sehemu imeachia mwanya wa mgomo Likitokea Tatizo pande husika zinakaa mezani na keleta suluhu Kwa kawaida migomo iko sehemu za Kazi...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)? NB...
2 Reactions
11 Replies
707 Views
Tanzania na wananchi wa Tanzania, ni wenye bahati mbaya kabisa katika ulimwengu huu. Watanzania (Watanganyika na Wazanzibari) wamepitia kwenye mateso ya utumwa wa mwarabu. Wakati huo mwarabu...
14 Reactions
70 Replies
1K Views
Wakuu ni matumaini yangu nyote ni wazima. Nimetafakari baadhi ya mambo yanayoendelea nchini na nimeona ni vyema tukashare mawili matatu. Najua kuna wale ambao machoni pao hujiona smart kuliko...
1 Reactions
10 Replies
321 Views
Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya. Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari? Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Kwa kawaida kiongozi anapochelewa kutumia Hekima, Busara na Maarifa basi madhara kwa Nchi yake huwa makubwa na ya kushangaza Tuzidi kumwomba Mungu wa mbinguni awape Hekima Viongozi wa Dunia hii...
1 Reactions
2 Replies
204 Views
Back
Top Bottom