Muhtasari
Kesi za maslahi ya umma ni moja ya silaha ya kupambana na malalamiko kama vile uvunjifu wa haki za Binadamu unaofanywana serikali au taasisi zisizo kuwa za kiserikali. Mashauri...
Wakati mwingine mjadala ya kinyang'au huwachochea Wananchi nao wavunje sheria
Wananchi Hawa siyo Wajinga ndio sababu tunasisitiza Uzalendo uanzie Juu kushuka Chini na si kinyume chake
Wakati wa...
Moja kwa moja kwenye mada ambapo leo hii nimekusikia ukitoa tamko kwamba sasa TRA itaja na mfumo bora wa nyaraka wa kukusanya kodi kuanzia Julai 1, 2024.
Tatizo lililopo TRA ni upigaji ambapo...
Nimepewa jibu jepesi Sana la mfano Mwamba nilinganishe TBC na Wasafi media
Kwamba serikali inawaamini zaidi akina Wasafi media kuliko TBC maana yake Uwezo wa akina Zembwela kidunia uko Juu kuliko...
Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la...
Mwaka 2009 Mnyika aliulizwa mipango yake kisiasa, Majibu yake yalikuwa ni kuwa Mbunge kwa vipindi viwili 2010 na 2015 halafu kupumzika ubunge 2020 kwa ajili ya kujiandaa na Urais 2025.
Mnaofikiri...
Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni...
Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema;
"Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni...
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
📍 Kisiwandui Zanzibar
🗓️24 Juni 2024
Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan...
Wakuu salaam!
Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila???
Ila??
Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na...
Sijamjua kama ni faida ya Katiba mpya ama la ila Wenzetu Kenya Wana Demokrasia iliyonyooka
Maaskofu wote Leo wamewatetea Vijana wa Gen Z kwamba hawana Nia mbaya kwa Taifa
Katika Kanisa alilosali...
Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea
=======
Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara.
Chalamila amesema wafanyabiashara...
Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika.
Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama!
Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa...
Mafisadi wameshinda, wamemfyatua Mwamba Luhaga Joelson Mpina (MB) kwa adhabu ya kutohudhuria vikao (sitting sessions) 15
Hoja ya uongo wa Waziri na kutoa vibali kwa kampuni hewa kuagiza Sukari...
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu.
Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu...
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni...
Leo tarehe 24 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amutana Na Wajumbe Wa Bodi Ya Mishahara Na Maslahi Katika Utumishi Wa Umma na kuwaaigiza kufanya tathmini ya viwango vya mishahara wa watumishi wa umma...
Mbunge machachari asiyepoa kutokea jimbo la Kisesa mkoani Simiyu amesema ana ushahidi wa kutosha wa namna baadhi ya mawaziri wanavyotumia vibaya madaraka yao na kujihusisha na ufisadi wa kutisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.