Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la...
Mwanadada/Mwanamama, Shy-Rose Bhanji ameendelea kulalamikia maamuzi ya CC ya Chama chake cha Mapinduzi baada ya kumkata katika kinyang'anyiro cha kuusaka ubunge wa Afrika Mashariki.
Ameandika...
Naelewa ziara ya Rais wa JMT mh Dr Samia ilianzia Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis aketiye Kitini pake mtume Petro kisha akaelekea Norway
Pale Norway nimeona Kundi kubwa la Mawaziri akina...
Kiongozi wa Waislam nchini Shehe Kundecha amesema kwa mujibu wa Vitabu Vitakatifu Ukahaba ni chukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni
Kwa maana hiyo amempongeza Sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo mh Bomboko...
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amebainisha mambo matatu ambayo wameyagundua ya wananchi wa Tanzania na baadhi ya viongozi kuhusu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni...
https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba...
Nilikuwa namfuatilia huyu dada Mpare mwenzangu Halima Mdee. Bila ubishi ni kati ya wanasiasa wachache wenye vipaji sana.
Tatizo lake ni moja tu kwamba Siasa za Tanzania kufanya kwa level yake...
Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu".
Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno.
Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya...
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.
Wabunge wanaotajwa...
Jeshi la Polisi limesema taarifa za kiintelejensia zinaonesha Tarafa ya Ngorongoro si salama sana Kwa sasa hivyo Chadema hawataruhusiwa kufanya mkutano kwenye Operesheni yao itakayoanza kesho...
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
Nchi yetu ilianza kuharibika sana kuanzia pale mifumo ya wezi na watawala walipoamua kuhakikisha Tanzania haina mbunge hata mmoja wa upinzani bungeni.
Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2015 tuliona...
Ukifuatilia mambo mengi ya nchi hii unawezakudhani nchi haina wasomi, haina sheria wala haina wasimamizi wa sheria kila mtu ana uwezo wa kufanya lolote na asichukuliwe hatua. Chunguza mifano...
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷
Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu.
Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike.
Na huzuni tu, nipeni 1...
Katibu wa UVCCM ndugu Jokate amewataka Vijana wa UVCCM kuachana na Uchawa wa kubeba mikoba ya Wagombea nyakati hizi za uchaguzi na badala yake wachukue Fomu na kugombea wao wenyewe
Jokate...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi.
Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.