Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart. All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages...
2 Reactions
6 Replies
433 Views
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma...
0 Reactions
4 Replies
433 Views
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye...
29 Reactions
154 Replies
15K Views
https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
1 Reactions
1 Replies
485 Views
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana! Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Mzee Njoroge akihojiwa na Citizen amesema sentence Moja tu " Wabarikiwe Wazazi waliowazaa watoto hawa wanaotusemea Sisi Wazazi wao tusio na Vipaza sauti' Kiukweli mzazi unapoona mwanao amechagua...
5 Reactions
19 Replies
540 Views
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
5 Reactions
5 Replies
569 Views
Jambo moja kubwa na hakika ambalo ukiwauliza raia wa nchi nyingi za Afrika magharibi au tuseme global south kuwa wanajua nn kuhusu Tanzania kwanza watakwambia wanaRais mwanamke!Wanaweza kukwambia...
2 Reactions
8 Replies
321 Views
Bado naungana na Mama wa Asimwe kuuzunika dhidi ya kifo Cha mtoto wetu Asimwe. naungana na Mwanasiasa no Moja wa taifa ili kwa serikali ya AWAMU ya 6 kumpa pole Mama Asimwe Nina uzunika sana...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
Nimekuwa nawaeleza Watanzania kwamba hao mnaowaona wanaandamana huko Kenya,miaka 2 iliyopita walikuwa wanakusanywa na kumshangilia Ruto Kwa jina Maarufu la Hustlers au Jua Kali. Tangu ashike...
11 Reactions
165 Replies
4K Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
22 Reactions
75 Replies
3K Views
Wewe ni kiongozi. Unaona watu unaowaongoza wanalalamikia uvunjifu wa katiba, kanuni, miongozo, na taratibu ambazo wewe kiongozi kwa viapo vyako na ahadi yako kwa CCM uliahidi kuvilinda, kuvitetea...
1 Reactions
4 Replies
279 Views
Wasalaam! Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo! Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye...
42 Reactions
157 Replies
6K Views
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika? Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera...
8 Reactions
36 Replies
899 Views
Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi...
1 Reactions
21 Replies
777 Views
Siku 3 hizi ambapo maandamno ya vijana wa KENYA yameshamiri kupinga Finance Bill 2024, huku nchini kwetu kwenye social media nimeona kuwa Watanzania wanatamqni na sisi kwetu ingetokea kama Kenya...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Nchi hii, kuna watu wengi wenye elimu nzuri na akili pia, LAKINI unafiki wao na uchawa vimewafanya wapoteze weledi na akili ya reasoning na argument, kiasi cha kuwafanya waonekane kama ni watu...
24 Reactions
64 Replies
2K Views
Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo Zaidi soma hapa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Mambo mengi aliyofanya Magufuli pamoja na viongozi wengi aliowateua walitokana na TISS. Hata Bunge lenyewe limejaa TISS. Mama kashaondoa wakuu wawili wa TISS ikimaanisha hawafanyi anavyotaka...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom