Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM...
3 Reactions
9 Replies
418 Views
Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma...
0 Reactions
7 Replies
257 Views
Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwisho wa mwaka huu kuna uchaguzi muhimu na wa maana sana wa serikali za mitaa nchi nzima.. Na matokeo ya uchaguzi huu utatoa picha halisi ya sura na uelekeo wa uchaguzi mkuu ujao mwaka 2025...
0 Reactions
6 Replies
241 Views
  • Poll Poll
Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo...
0 Reactions
6 Replies
459 Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na kakibanda...
16 Reactions
76 Replies
2K Views
Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi. Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani...
1 Reactions
5 Replies
220 Views
Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya...
73 Reactions
248 Replies
17K Views
Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40% Pia, Dkt...
11 Reactions
180 Replies
7K Views
Ziara ya siku tano ya mkuu wa mkoa wa Arusha katika Wilaya ya Ngorongoro.Ziara hiyo ilianza October 3 hadi 8,taarifa iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Arusha kwa umma ilieleza kile ilichoita...
4 Reactions
169 Replies
13K Views
Wakuu Nilipata wasaa wa kumtembelea kada mkongwe sana wa chama chetu Cha mapinduzi juzi huko isimani mkoani Iringa,tukapata wasaa wa kujadili mawili matatu juu ya mwenendo wa chama chetu kuelekea...
18 Reactions
109 Replies
4K Views
Yule RC aliyekuwa anatafuta kiki kwa kishindo kikubwa na kutema cheche kila uchwao, hivi sasa anaongea kwa unyenyekevu kama padre mstaafu. Unajua sababu? Kama mtakumbuka watoto wa mjini walifanya...
33 Reactions
92 Replies
3K Views
🌍KOMREDI KAWAIDA AWASILI KARIMJEE HALL, MAHAFALI YA SENETI DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewasili Karimjee Hall...
1 Reactions
10 Replies
789 Views
Luhaga Mpina anazingumza na Waandishi wa Habari kuhusu kinachoendelea kati yake na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu hoja ya sukari ambayo ilianzia Bungeni. ====== Mpina asema wakati wa...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwenge wa Uhuru 2024 umewasili Mkoani Njombe, na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva- Mwenge wa Uhuru kukimbizwa Wilayani Ludewa Mwenge wa...
2 Reactions
8 Replies
454 Views
Naibu Waziri Waji, Kundo amechukizwa na kucheleshwa kwa mradi wa maji, Mradi uko asilimi 12.8 na mkadarasi hana uhakika kama Certificate wamesharise, Mkandarasi kasema mpaka acheki na ofisi...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka.
3 Reactions
11 Replies
409 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila...
0 Reactions
6 Replies
585 Views
Back
Top Bottom