Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huyu jamaa sijui anakuwaje kabla ya kuongea!!
5 Reactions
24 Replies
928 Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia. Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Mhe. Erasto Sima anaendelea na ziara yake iliyoanza wiki hii ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo kesho ziara inaendelea. Kesho Jumatatu Juni 10...
2 Reactions
4 Replies
216 Views
Tulidanganywa sana 1. Eti kuna mtu alikuwa akipata mil 7 kwa sekunde kupitia EFD 2. Eti nchi inajenga miundombinu kwa hela za ndani wakati mikopo inakopwa kimyakimya 3. Eti tumeingia uchumi wa...
4 Reactions
4 Replies
290 Views
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu. Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu...
2 Reactions
5 Replies
271 Views
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza. Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la...
27 Reactions
241 Replies
17K Views
Kuteuliwa kwa marehemu Milton Lupa kuwa DED huko Kilolo Iringa kumeleta tafsiri tofauti vichwani mwa watu. Je, waliopo hai nafasi hawapewi, wanapewa marehemu? Au walio hai hawatoshi au hawafai...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua...
4 Reactions
21 Replies
911 Views
Wilaya ya Nyamagana mkoani mwanza ipo katika harakati za kupata wagombea wa nafasi za uenyeviti wa mitaa katika halmashauri ya jiji la Mwanza. Ninachokishuhudia ni kutawala kwa vitendo vya rushwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilitaka niliweke hilo sawa kwamba kwa mujibu wa utamaduni wa CCM Rais anahudumu term 2 kama Katiba ya JMT inavyotaka Sasa akiibuka mwanaccm sasa na Kuomba Rais Samia aongezewe muda hadi 2030...
0 Reactions
7 Replies
311 Views
Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika...
19 Reactions
139 Replies
20K Views
Kama ni kweli anayoyasema Tundu Lissu kuhusu Serikali kutomlipa haki zake kwa nini Serikali ikae kimya?. Anatakiwa alipwe stahiki zake mfano (1) Mishahara tangu alipopigwa risasi mpaka mwisho wa...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Kwa mujibu wa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Serikali ya Marekani imesema itatoa Shilingi Bilioni 980 Ili kusaidia Tanzania kupambana na mambo ya Ukimwi Mwaka wa Fedha ujao wa 2024/25. Swali...
0 Reactions
10 Replies
698 Views
Sidhani kama yuko mtu ndani ya CCM anaweza kujibu hoja za Lissu. Sidhani kama CCM watavumilia Lissu atimize azma yake ya kufanya mikutano Singida, Dodoma, na Morogoro. Msikilizeni hapa chini...
1 Reactions
7 Replies
560 Views
  • Closed
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022...
12 Reactions
69 Replies
2K Views
Tanzania poised to enter booming graphite market with Bunyu project launch Dar es Salaam. Tanzania's mining industry is on the cusp of a transformation, with two significant graphite projects...
2 Reactions
7 Replies
694 Views
Sasa hivi kila taasisi ina madudu ya kutosha juu ya rushwa na ufisadi. Kulingana na ripoti ya CAG, tuliona namna ambavyo taasisi za serikali chini ya viongozi wake wanavyoiba pasipo woga wowote...
0 Reactions
3 Replies
371 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi...
2 Reactions
14 Replies
800 Views
Back
Top Bottom