Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akitahadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo...
14 Reactions
272 Replies
29K Views
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau. Watanganyika wa leo...
11 Reactions
24 Replies
949 Views
Endelezeni kunywa mtori Nyama mtazikuta chini Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema taifa utafichua Siri nyingi sana kama busara haitachukua Nafasi yake Kuna mambo Mengi yaliachwa kwenye mabano huko...
0 Reactions
4 Replies
344 Views
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana. Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
17 Replies
701 Views
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa...
6 Reactions
20 Replies
632 Views
Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali. === Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa . Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa ...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu . ====== Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi...
24 Reactions
82 Replies
4K Views
Maelezo yake kwenye clip hapo chini, dakika ya tisa na kumi, yanaonesha kuwa anahisi kuwa alichangia kuwafanya Watanzania kuwa waoga. Anasema kuwa haikuwa nia yake kulijenga Taifa la watu waoga...
1 Reactions
13 Replies
538 Views
Vitendo huthibitisha yale yamtokayo mtu mdomoni. Ni dhahiri sasa wenzetu wazanzibari wanatekeleza kile walichomaanisha , msemo wa Changu Changu Chako Chetu. Maneno yaMakamu wa Rais Zanzibar na...
0 Reactions
6 Replies
529 Views
Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
12 Reactions
104 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba...
0 Reactions
15 Replies
513 Views
Back
Top Bottom