Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Hizi Ndio habari mpasuko nilizopenyezewa hivi punde kwamba Muungano wa Vyama vya Demokrasia Duniani utatuma Waangalizi wake kwenye Baraza Kuu la Chadema litakalochagua Mwenyekiti wa taifa Ngoja...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
📅 03 Mei, 2024 📍 Mwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
"Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea...
1 Reactions
0 Replies
278 Views
Samia is behind Lissu's movement on this union. In fact, the Zanzibaris are pushing this agenda secretly pretending that it is Lissu who is notorious while it is Sami's movement. Samia is...
23 Reactions
91 Replies
5K Views
Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi. Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma. Ni maandamano ya kutoka Uyole. Naibu Waziri Mkuu anazomewa Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa...
30 Reactions
144 Replies
11K Views
Serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM pamoja na kutunga sheria kali ya mitandao na kuweka udhibiti kwa sheria na kanuni ngumu kwa yeyote anayetaka kuanzisha TV au radio au gazeti, lakini kwa...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa...
2 Reactions
6 Replies
379 Views
Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika...
1 Reactions
9 Replies
699 Views
Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote...
2 Reactions
6 Replies
817 Views
#HABARI: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu". Mjadala unaoendelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi...
2 Reactions
7 Replies
788 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi, amesema Waziri wa Maji Jumaa Aweso ni miongoni mwa mawaziri wachapakazi, ndio watendaji wanaohitaji katika Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema hapendi CCM Kuwa kama vyama ambavyo Kazi yao ni Kutukana Watu tu Dr Nchimbi alikuwa akiwahutubia Wananchi wa Katavu
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwenye Biblia kuna maandiko yanasimulia kisa cha watu wawili kuhusiana na utoaji wa sadaka Katika mafundisho hayo Bwana Yesu aliendelea kuwaambia wanafunzi wake kuwa unatopotoa sadaka yako...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom