Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa. Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu. Nia...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala...
-1 Reactions
21 Replies
807 Views
Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
30 April 2024 Morogoro, Tanzania Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY Matendo ya serikali yetu...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji...
0 Reactions
13 Replies
999 Views
Kwa niaba ya Waandaaji wa wiki ya Maandamano ya Amani (awamu ya kwanza) na kwa niaba ya Wapenda haki wote duniani, nachukua Fursa hii kuwashukuru watu wote kutoka pande waliowezesha Maandamano...
3 Reactions
6 Replies
402 Views
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
14 Reactions
83 Replies
4K Views
Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Sikukuu ya Mei Mosi, inayojulikana pia kama Siku ya Wafanyakazi Duniani, inaadhimishwa kwa kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kujenga jamii na kuboresha hali zao za kazi. Sikukuu hii ina...
1 Reactions
2 Replies
464 Views
Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana...
1 Reactions
8 Replies
632 Views
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na...
16 Reactions
108 Replies
5K Views
Bohari ya Dawa (MSD) imeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo ulioandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kuwakutanisha Madaktari Bingwa, wataalam na wadau wa afya, wauguzi na...
1 Reactions
5 Replies
411 Views
Heshima yenu wakuu, Sikubaliani na kitendo cha Serikali ya Tanzania kutaka Kuwatengenezea Daraja la Peke yao watu wa Masaki. Huu ni Ubaguzi wa hali ya juu na Itafanya sisi Masikini tuendelee...
40 Reactions
256 Replies
45K Views
KIKAO CHA PAMOJA CHA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MAMBO YA ULINZI, USALAMA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Utaifa ni jambo ambalo mataifa yote duniani huulinda kwa nguvu zote,hakuna taifa lenye watu wenye akili timamu wako tayali kuona utaifa wao unachezewa hovyo,hili tuna liona kwa mifano michache...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Back
Top Bottom