Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Wanaharakati wengi naona wamemgeuka Tundu Lissu kule X (Twitter) X ambayo ndio strongest base ya Chadema, iligeuka chungu baada ya clip ya maneno ya kibaguzi ya Lissu kupostiwa kule Ni sahihi...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Hivyo ndivyo tunavyoweza kusema, kwani hakuna tarajio hata Moja la kuwamotisha wafanyakazi. Tangu enzi za mwenda same hakuna chochote naweza kusema kilichofanywa Cha kuboresha maslahi ya...
2 Reactions
6 Replies
432 Views
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita...
1 Reactions
6 Replies
384 Views
Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua...
1 Reactions
7 Replies
684 Views
CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama...
13 Reactions
102 Replies
10K Views
Nilivyokuwa Ilboru 1990-1993 niliambiwa miaka ya nyuma kulikuwa na kijana machachari sana ambaye alikuwa anaitwa Antiphas. Umachachari huo ulitokana na debate club za pale Ilboru ambazo zilikuwa...
6 Reactions
4 Replies
658 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi. Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
20 Reactions
186 Replies
9K Views
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu? Wametii kiu yenu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
-1 Reactions
1 Replies
227 Views
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na...
16 Reactions
53 Replies
3K Views
Tanzania huenda inaweza kuwa nchi pekee ya ajabu katika mambo mengi, likiwemo suala mfumo wa kodi. Kiuhalisia kodi inayolipwa Serikalini, pamoja na malengo mengine, mojawapo ni kugharamia taasisi...
7 Reactions
6 Replies
461 Views
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari...
22 Reactions
27 Replies
1K Views
CHATANDA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI JIJINI ARUSHA 📅 01 Mei, 2024 📍Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameungana...
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa. Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa. Huyu...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI GARI MOJA JENERALI CHELESTINO MSOLA (MSTAAFU) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom