Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo.
Vipi hapo kwako Kiongozi...
JF, amani iwe nanyi.
Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961...
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
Suala la muungano wa tanganyika na zanzibar, liko wazi kuwa huu muuungano unafaida zaidi kwa wazanzibar na hasara kwa watanganyika.
Nivile ccm kumejaa waoga, wachumia tumbo na wanafiki, ila...
Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao.
Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na...
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia...
MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI.
Na Comrade Ally Maftah
Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha kujenga jumuia inayokupa nguvu...
Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu.
Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua...
Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:-
* Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk
* Masuala ya muungano - hapa wanaibua...
Asalaam Aleykum.
Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao...
Wakati Mkapa - CCM
Wakti wa JK - CHADEMA
Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM
wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA
Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji.
Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana...
Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili...
Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.