"Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri...
CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana...
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli...
Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini...
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa...
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata...
Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Utangulizi.
Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya...
Wana JF.
Tanzania toka tupate uhuru wetu mwaka 1961 mpaka leo mwaka 2015 bado nchi yetu ipo kwenye kundi la nchi masikini tunaendelea kusaidiwa na wahisani mpaka leo.
Tanzania kuna jamii...
Taarifa ya Kamati ya uchunguzi wa matukio ya mauaji yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari mkoani Mtwara inadaiwa kubaini Jeshi la polisi lilishindwa kuteleza wajibu wake wa kulinda usalama wa...
Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuf Makamba (Mb.) amewasili Jijini The Hague, Uholanzi kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 13 - 15 Novemba...
WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA
WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua...
Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini
Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine
Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta
DAR ES SALAAM
Na Dennis Luambano
Waziri wa zamani wa...
Wadau huu ukimya wa mchakato wa kuanza upatikanaji wa Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa hakuna kinachoendelea.
Na haya matukio ya bandari n.K ni mbinu za ucheleweshaji...
Wasalaam
Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba,
Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale...
Salam Wakuu,
Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala...
MBUNGE NORAH MZERU ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MAGUBIKE WILAYA YA KILOSA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika kampeni...
Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua
Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika
---
Serikali ya Jamhuri ya...
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.