Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI...
0 Reactions
1 Replies
476 Views
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi? Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya...
23 Reactions
177 Replies
8K Views
Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa...
2 Reactions
10 Replies
740 Views
Mwanasiasa wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi imefuta Sheria zote za uchaguzi wa zamani na hivyo TAMISEMI imefutwa rasmi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
2 Reactions
1 Replies
799 Views
Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa...
28 Reactions
43 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano...
3 Reactions
5 Replies
780 Views
Kutoka Chadema Hq. Ameandika Tundu Lissu. Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunasimama na Wafanyakazi Tanzania, Kikotoo cha mafao kinawaumiza wafanyakazi. Chama cha ACT Wazalendo kinaungana na wafanyakazi wote Duniani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Siku hii...
0 Reactions
3 Replies
340 Views
Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa...
2 Reactions
8 Replies
487 Views
Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa...
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka CCM yaani DC wa Muheza. Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi. Amekemea uongozi wa TrRA wilaya Kwa jinsi...
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji Kwa sauti...
6 Reactions
89 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Arusha imepata bahati na neema ya kipekee kabisa ya kuandaa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kitaifa ambayo itafanyikia Mkoani hapo jiji na lango kuu la watalii...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...."...
8 Reactions
10 Replies
691 Views
MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA. BUKOBA KAGERA. Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi. Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
0 Reactions
10 Replies
527 Views
Back
Top Bottom