Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na...
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Jenerali Ulimwengu amefanya tafakuri kuhusu nishati ya mafuta na gesi katika kufanikisha usafiri nchini. Kwa tathmini yake amebaini wamiliki wa vituo vya mafuta wapo mstari wa mbele kukwamisha...
Wengi wamesikia kuhusu kauli ya Nape akiwa Bungeni akilalamika na kufoka kuhusiana na kauli ya Tundu Lisu aliyoitoa, akimtaja Rais Samia ni Mzanzibari. Hoja aliyoisimamia Nape ni kule kumwita Rais...
Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana.
Hii ni nafasi ya kukisemea chama...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye...
Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona...
Wadau nawasalimu.
Jina George Mkuchika ni jina maarufu hapa NCHI. Mzee George Mkuchika ni miongoni mwa Makada Maarufu wa TANU mpaka CCM.
Mzee George Mkuchika amekuwa Kiongozi katika Nafasi...
Je, ni sawa kwa Mzanzibari kulalamika kero za muungano, lakini sio sawa kwa Mtanganyika kufanya hivyo?
Kwanini Lissu anashambuliwa badala ya kujibiwa?
Zanzibar kuna potential gani ya maisha as...
Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi.
Pamoja na...
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.
Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.
Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
Salaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama...
Nataka Kusema, mgogoro uliopo Sasa kati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaweza kuja kuleta madhara baadae kama ilivyokuwa madhara makubwa ya vita ya Ukraine na Russia, ambazo awali zilikuwa...
Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za...
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha...
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani?
Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
Wanabodi,
Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.