Kwa kifupi Nini kimeongezeka Mei Mosi Mwaka huu? Tumeamka na Bei Mpya ya Mafuta, imepanda tena.Changamoto ni zilezile ambazo MAJIBU yake ni kitendawili ambacho mteguaji ameshindwa naye mtegaji...
Mwalimu Nyerere akipinga azimio la Bunge lililopitisha azimio kwa kauli moja kuwa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uwe wa Serikali 3, alisema kuwa CCM ilienda kwa wananchi wakati wa...
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri...
Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.
Hali ndio kama...
Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala.
Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio...
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti...
Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi...
1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi
2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani
3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv
4. Waanzilishi wa biashara
5. Hawanuniliki wapinzani...
Mgombea mwenza wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokea Zanzibar mgombea urais anakuwa ametokea nchi gani?
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
Salam kwenu Watanganyika na wazanzibari!
Tumeshuhudia Dp world wakiripotiwa kuwa wameanza majukumu pale bandari salama. Hatua kadhaa zimekuwa zikuchukuliwa kuweka mifumo yao sawia.
Sote...
Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa.
Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali...
Passport ya Kwanza ya Zanzibar kabla ya Uhuru wa Zanzibar
Kama mnavyojua, Wazanzibari wameanza tena Chokochoko za kutaka watumie Passport zao kuingia Bara na wale wa Bara watumie Passport kuingia...
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi...
Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used...
Ni vema kusema ukweli. Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Geita ni mfano wa kuigwa. Wananchi wengi wa Mkoa wa Geita wamekuwa wakifuatilia HATI zao kwa muda mrefu bila mafanikio. Kila ukienda unaambiwa...
Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo...
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.*
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.