Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa...
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
Habari watanzania na wana CCM,
Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.