Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni...
22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga...
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Wafanyakazi wa TRA wawatendee wema Wafanyabiashara kwa kuzingatia sheria na kujua Kuwa Hata wao ni Wafanyabiashara watarajiwa
Makonda amewataka...
January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania
Na Mwandishi Maalumu
January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu...
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge.
Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge...
Atangaza neema Mei Mosi kwa watakaotatua migogoro na kero za wananchi kwa wingi na ufanisi mkoani Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa amesema Maafisa Tarafa na Watendaji wa...
Ikiwa ni mwaka wa tatu(3)tangu SSH achukuwe kijiti cha uraisi kumekuwa na utitiri wa PhD za kutunukiwa mfululizo ambazo kimsingi nashindwa kuelewa muktadha wake ni nini
Yawezekana akawa na sifa...
PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao.
Walio na...
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa...
Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa...
Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes...
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar...
Kiongozi wa Chama Cha ACT wazalendo na Wajumbe wa kamati kuu wamefika wilayani Rufiji na kutoa misaada mbalimbali kwa Wahanga wa mafuriko
Mkuu wa Wilaya Meja Edward Gowelle amewashukuru sana na...
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi.
Ndio maana kuna...
CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini.
Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya...
Kutoka angani naliona Bwawa kubwa, liliojengwa kutoka kwenye urithi wetu wa mto Rufiji, katikati ya Hifadhi yenye jina lake Nyerere mtu wa kipekee. Naliona Bwawa lile na kukumbuka kwamba wakati...
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake.
Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.