Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi...
0 Reactions
3 Replies
297 Views
JAJI MKUU KUONGEZEWA MUDA NI SAHIHI KIKATIBA Tarehe 22 Septemba, 2023; Mahakama Kuu (Masijala Kuu) Dar es salaam ilitoa uamuzi katika shauri la Kikatiba Na. 07/2023 baina ya Humphrey Simon...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BASHUNGWA ASHIRIKI MAOMBI NA DUA YA KULIOMBEA TAIFA Waziri wa wa Ujenzi Innocent Bashungwa, ameungana na Watanzania kushiriki Siku ya Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika Maadhimisho ya...
1 Reactions
20 Replies
757 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paulo Makonda amemshangaa Meneja wa TARURA Mkoa wa Arusha Kwa Kushindwa kutoa maelezo yanayoeleweka hujisu utendaji kazi wa taasisi yake katika Kuhudumia Barabara. Bwana...
15 Reactions
251 Replies
14K Views
Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
1. UTANGULIZI Mipango ya nchi nyingi dunia inaendelea au inaparaganyika kutokana na uimara wa Katiba zinazoongoza nchi hizo. Katiba imara inatokana na kuwa na Chombo imara kinachosimamia uchaguzi...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli, ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa...
18 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho. Viongozi waliofanya vizuri ni...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya...
13 Reactions
81 Replies
4K Views
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa...
14 Reactions
187 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) akizungumza na Viongozi na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro na kutoa pole na faraja kwa wahanga wa Mafuriko ya...
2 Reactions
3 Replies
411 Views
Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gerald Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema...
6 Reactions
83 Replies
8K Views
Leo Wabunge wa Zanzibar wamenifurahisha kwa namna wanavyoweza Kuwa Wamoja kwenye kutetea Maslahi ya Visiwa vyao Wabunge hao wamemwambia Waziri Jaffo wanapitisha Bajeti yake lakini ahakikisha kero...
1 Reactions
2 Replies
535 Views
Ni Ushauri tu Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema? Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona...
1 Reactions
10 Replies
392 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinaeleza ya kuwa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda atazungumza na waandishi wa habari muda na wakati wowote ule...
10 Reactions
160 Replies
9K Views
Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24? Mbona hapo awali...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
- Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE - Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma, Dodoma, Katavi na Lindi - Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri wa Madini...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini. Hayo...
1 Reactions
7 Replies
627 Views
Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Back
Top Bottom