Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa #60yaMuunganoTz Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22...
4 Reactions
86 Replies
6K Views
Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa . Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Watanganyika wanapenda siasa zilizopooza Watu wa Swaga kama akina Makonda, Lisu, Jussa na Lema huonekana kama wakorofi Dunia inaenda Kasi Sana ndio Sababu CCM inapata Ugumu inatakaga kubadili...
4 Reactions
16 Replies
747 Views
TAARIFA YA MH. MBUNGE FREEMAN AIKAEL MBOWE MBUNGE WA JIMBO LA HAI KUHUSU UTENDAJI WA KAZI ZA KIBUNGE KWA KIPINDI CHA 2010 HADI TAREHE 30/06/2014. JIMBO: HAI MAHALI: MKUTANO MKUU WA WILAYA...
20 Reactions
70 Replies
13K Views
Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati! "Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Nimeshangzwa sana na kugawanya Kwa halmashauri ya mtwara vijijini Kwa kuwepo halmashaur ya nanyamba yenye tarafa moja, baada ya kugundua ni ndogo wakaiongezea kata tano ambazo pia inadaiwa ni...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na...
0 Reactions
5 Replies
279 Views
Kuna katabia ka watanzania kuwaonea wivu wazawa na kuwakumbatia wageni. Uwekezaji wa Dangote mtwara unanipa maswali mengi hasa kiasi cha ardhi aliyomilikiwshwa hekari 700 kujenga kiwanda na 2500...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuhu Baada ya kumshukuru Mwenye ezi Mungu na Kumtakia rehma na amani kiongozi wetu Bwana Mtume Muhammad S.A.W. Tunapenda...
2 Reactions
87 Replies
12K Views
Nasikitika sana kwa aina ya maswali wanahabari wetu kuyauliza pindi wanapokutana na viongozi wa kuu wa taifa letu. Mara nyingi huuliza maswali dhaifu, mepesi na pengine wanayo majibu ama...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Zipo tetesi zinazagaa kuwa baada ya Rais kuona upotevu mkubwa wa mapato kuna uwezekano mkubwa wizara ya fedha akaikamata mwenyewe. Pamoja na hayo yapo niliyojiuliza kwa tetesi hizi,Je,Kama ikawa...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
TUNAWEZA kuifananisha hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli [JPM], ya kufungua rasmi Bunge jipya la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma, 20 Novemba mwaka...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
SERIKALI ya Ujerumani imetangaza kuongeza kiwango cha ufadhili kwa Wakimbizi wa Burundi wanaoendelea kuingia nchini kwa kasi, kutokana na mkwamo wa kisiasa uliopo nchini humo. Ujerumani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dr Slaa alisema kumkaribisha Lowassa Ukawa ni sawa na kuchukua "kinyesi" ukapeleka chumbani! Bila shaka pamoja na hasira za kukosa urais alitaka kuwaaminisha watanzania jinsi gani anauchukia...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mfumo unaundwa na watu,mfumo ukikomaa huwafanya watu wale waliouunda mfumo ule kuishi kwa kadiri mfumo unavyotaka.Kuubadili mfumo huo inahitaji watu tofauti kabisa ya wale waliounda mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kuhusu nani atamarithi. Rais huyo mwenye umri wa miaka 91, amesema hayo katika kongamano la kila mwaka la chama...
2 Reactions
1 Replies
731 Views
Magufuli angekuwa maarufu ndani ya muda mfupi, angekuwa nuru ya Africa, na angetambulika duniani kwa sifa njema. Wananchi bila kujali itikadi walimpenda, na wangempenda zaidi na zaidi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
"Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Back
Top Bottom