Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija.
Mwenyekiti huyo kwa...
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia.
Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka..
Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
Hakuna cha majina ya wasaliti wala hakuna cha walipa posho kwa watu wa mitandao, bali hiyo ni mbinu ya Makonda kuwaweka kwenye kona mbaya mawaziri wamuogope kuwa ukimfuata fuata anaweza kukusemea...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri kuunga mkono kwa dhati, juhudi zote na hatua zote zinazochukuliwa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano katika vita dhidi ya rushwa, ufisadi...
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
Wananchi wa Mkoa wa Njombe na Ruvuma tunakukaribisha Sana Nyumbani,Katibu wetu wa Chama Cha Mapinduzi kwani Mcheza kwao hutunzwa!!
Nadhani umepita kwa Njia ya barabara kutoka Mkoani Njombe...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na...
Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa...
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch...
Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania...
CHATANDA ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 90 YA DKT JOHN SAMWEL MALECELA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameshiriki hafla ya kumbukizi ya Miaka 90...
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa...
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao...
Fao la Kujitoa Laondolewa Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Kwa Sababu Halina Sifa Za Kuitwa Fao
Hifadhi ya Jamii (Social Security) ni sera au programu zilizoanzishwa kwa lengo la kusaidia kulinda...
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam...
sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi.
ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.