Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MBUNGE SHONZA AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKOA WA SONGWE "Kwa bahati nzuri nimekuwa Mbunge kwa awamu ya pili Mkoa wa Songwe, tangu Mkoa wa Songwe uanzishwe...
1 Reactions
4 Replies
414 Views
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo...
56 Reactions
924 Replies
67K Views
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
10 Reactions
182 Replies
17K Views
Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this. Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf Humu duniani kuna daraja mbalimbali...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
34 Reactions
165 Replies
6K Views
Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na...
4 Reactions
27 Replies
827 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Hamza Hassan Juma kwaajili ya...
0 Reactions
4 Replies
521 Views
PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais...
0 Reactions
8 Replies
649 Views
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda...
31 Reactions
90 Replies
9K Views
Nimeona hili nikabaki nashangaa kabisa. Yaani Mbunge ambaye Bungeni awezacho kufanya ni kusimama na kumsifu Rais na serikali na sio kuzisemea kero za wananchi wake huku akirudi kwake ni kuitisha...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Naibu Waziri mkuu Dr Dotto Biteko anashiriki mazishi ya General Ogolla nchini Kenya Source: Citizen TV
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Umasikini unaendelea kubakia kama mtaji mkuu namba 1 kwa CCM, na wao wanalijua hilo na wanafanya kila linao wezekana kuhakikisha umasikini hauishi nchi hii. Kwa Mbunge wa CCM anayeongoza jimbo...
12 Reactions
57 Replies
1K Views
Nawasalimu katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristi katika Dominica ya Leo Nawakumbusha tu Sifa, Utukufu na Shukrani ni kwa Mungu Juu Mbinguni Hapa Duniani iwepo Amani kwa Watu...
1 Reactions
15 Replies
624 Views
Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Tanzania HAKUNA DEMOKRASIA huwezi kuwa na DEMOKRASIA kama KATIBA ya NCHI haikupatikana kwa njia ya Kidemokrasia. KATIBA ya TANZANIA ilipatikana kwa Watu 20 kukutana chini ya Bw. MSEKWA kwa Upande...
3 Reactions
9 Replies
466 Views
Hivi karibuni Ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom