Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
"Serikali ina mkakati gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Kata ya Mmbebe kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya" - Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Serikali...
1 Reactions
0 Replies
298 Views
Wakuu, Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇 == Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Na Emmanuel Magira BHRM‐Mzumbe, Kwa miaka kadhaa sasa, tumeshuhudia kampeni nyingi sana, za kuwapongeza viongoz wa nchi katika kutimiza majukumu yao. Mfano kama CCM wanavyofanya kumpongeza...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo. Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya uchaguzi. Katika maelezo yake amesema Nchi...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu...
34 Reactions
121 Replies
6K Views
Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na...
4 Reactions
14 Replies
900 Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema watanzania wa Vijijini Nzega wataichagua tena CCM kwa sababu imewamalizia tatizo la Maji Kigwangala amesema Wanavijiji hawana shida ya Katiba mpya...
4 Reactions
15 Replies
709 Views
Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Salaam, Shalom!! INTRODUCTON. Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mzee Malecela leo anetimiza miaka 90 tangu kuzaliwa kwake , na pamoja na mambo mengine Amefanya misa ya Shukrani ambayo imehudhuriwa na viongozi na wastaafu...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Mkutano huu unafanyika Nairobi na kama mjuavyo mabilionea wakubwa duniani wanaoshika nyingi za huu duniani kuanzia akina Bills gates nk wote wako kwenye digital economy Mkutano wa Connected...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI HAFLA YA UZINDUZI WA BOTI YA DORIA KATIKA BAHARI NA MAZIWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, April 21, 2024...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu...
0 Reactions
4 Replies
306 Views
https://www.youtube.com/watch?v=p3adH5D00yU Naibu Katibu Mkuu CCM Bara, John Mongela akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda katika hafla ya kukabidhiana ofisi Leo April 8, 2024...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
22 Reactions
142 Replies
5K Views
Back
Top Bottom