Kabla hata report ya CAG haijatoka kamati ya kuombea watuhumiwa msamaha kwa Mama ilikuwa imeisha anza kazi zake ikiwemo kuwaita watuhumiwa na kuwahoji na kuwataka wakili makosa na kuahidi kuto...
Wizara ya Maliasili imepania kuendeleza halibora ya wafanyakazi wakati huu sekta hizo zikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi wa nchi ikiwemo kuongoza kwa kuingiza fedha za kigeni kwa...
Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa.
Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu...
UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025
Utangulizi
Ijumaa tarehe 19 April 2024, Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT.
Akizungumza leo Aprili 20 hapa...
Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji..
Japo...
Ikiwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Mnyenyekevu, Mtu mwenye hofu ya Mungu na anaheshimu lila mtu bila kujali Itikadai.
Tuwaombee Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa...
Mapdri jijini Mwanza kwa umoja wao wametangaza kuwa tarehe 23/3/2024 kwenye viwanja vya kawekamo litafanyika azimisho kubwa la kumkumbuka aliyekuwa rais wa awamu ya tano ya nchi yetu, Hayati...
Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa.
Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba...
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema hadi sasa wapinzani Wanafanya kazi nzuri MNO na mkisema muwape kazi nyingine itawashinda hivyo CCM iachwe Iendelee Kuongoza taifa
Nchimbi amesema Mtu hufanya...
Ni takribani miaka mitatu sasa CAG amekuwa akitoa taarifa zilizojaa madudu ya ufisadi na rushwa pasi na mamlaka ikiwemo serikali kuchukua hatua yeyeote kukabiliana na tuhuma hizo kwa kipindi...
"Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa
"Serikali...
Salaam, Shalom!
Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu.
Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini, Dar es Salaam na Mwanza, maandamano hayo yameendelea kupata...
Wasimulia maisha ya Joseph Kaniki - Tanzania, Sweden na unga kutoka Brazil11/09/2013
0 Comments
KanikiMaisha mazuri kwa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Joseph Kaniki Golota sasa ni ndoto...
Katika maamuzi ya hovyo ambayo CCM wamewahi kuyafanya ni kumrudisha huyu kijana katika nafasi kubwa sana ndani ya chama.
Pengine ni katika hali ya kutapatapa kisiasa kwa rais Samia na Pengine kwa...
Imezoeleka katika suala la mimba mashuleni anayepewa adhabu kisheria Huwa ni mwanaume lakini kwa mkuu wa mkoa wa Singida Halima Omari Dedengo haiwi hivyo , amesema mwanafunzi wakike atakayebeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.