Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri...
2 Reactions
8 Replies
514 Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Ndani ya Chama hakuna wa kushindana na Rais Samia 2025 Hata zitolewe Fomu 1000 kwenye kura za maoni Dr Samia atashinda kwa Kishindo Kama unabisha basi watazame...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali. watawala kujazilishia...
33 Reactions
45 Replies
3K Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Katibu mkuu Nchimbi,katibu mwenezi Amosi Makala,Alli Hapi wazazi,na Joketo Mwegelo vijana bado hata robo ya amshaamsha ya MAKONDA hata robo yake hamjamfikia kulikoni? Mngedoda sana, bahati yenu...
4 Reactions
21 Replies
978 Views
Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa...
1 Reactions
5 Replies
544 Views
📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya...
0 Reactions
4 Replies
471 Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
2 Replies
553 Views
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Ikumbukwe Kamati ya Chama ya Marais Wastaafu iliundwa na Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete Baada ya vifo vya Mkapa na Mwinyi amebakia Rais Mstaafu Mmoja tu Mzee Kikwete na Kamati ni Watu...
3 Reactions
12 Replies
827 Views
Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili...
5 Reactions
129 Replies
18K Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
25 Reactions
101 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu. Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa...
5 Reactions
4 Replies
482 Views
Katiba ya JMT imetamka Wazi endapo Rais atapata dharura na Kushindwa kuendelea kuongoza basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais wa JMT. Wakati wa kupiga kura ni mtu Mjinga tu ambaye...
4 Reactions
51 Replies
1K Views
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
2 Reactions
22 Replies
1K Views
MHE. AMEIR ABDALLAH AMEIR, Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Akizungumza katika Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni jijini Dodoma kwa Wizara ya Uchukuzi na kujibiwa na Naibu Waziri wa...
1 Reactions
1 Replies
586 Views
Back
Top Bottom