Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta...
5 Reactions
116 Replies
4K Views
Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi --- Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla...
1 Reactions
16 Replies
973 Views
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Kiongozi wa jeshi la Polisi ngazi ya mkoa anaitwa Kamanda wa Polisi mkoa (Regional Police commander). Huyu naambiwa mpaka ana mamlaka ya kufukuza kazi bàadhi ya Askari Mkoani kwake na asihojiwe...
2 Reactions
13 Replies
883 Views
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani. Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza katika mahojiano maalum na Ayo Tv ameeleza kuwa ili kumaliza kero na taabu zinazosababishwa na mafuriko yanayotokea mara kwa mara katika...
1 Reactions
2 Replies
916 Views
Wanajamvi nimefuatilia kwa karibu Ziara zote mbili za Chama cha Mapinduzi zilizofanyika hivi karibuni,ya kwanza ni ile ya Mwenezi Mstaafu Makonda peke yake akiwa na Serikali aliyoita Back to Back...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo Pia Soma - Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa...
3 Reactions
69 Replies
7K Views
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine. Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma...
14 Reactions
207 Replies
18K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ataanza Wiki la Maandamano Mjini Bukoba 22/04/2024 siku ya Jumatatu Ikumbukwe Bukoba ndio nyumbani kwa yule Mwamba Faris Buruhan wa UVCCM Baadae Mlale...
2 Reactions
6 Replies
576 Views
Inashangaza na kusikitika kuona waliopitisha KIKOKOTOO Ambao ni WABUNGE wa CCM leo Wanajifanya kukishangaa na kupaza sauti za MSHANGAO. BUNGE chini ya SPIKA NDUGAI akisaidiwa na TULIA ndio...
0 Reactions
2 Replies
535 Views
Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote...
10 Reactions
88 Replies
4K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
24 Reactions
130 Replies
6K Views
Viwanja vya mpira vilivyojengwa na wananchi miaka mingi vilibadilika na kuwa mali ya chama cha mapinduzi. Baadhi ya viwanja hivyo ni Karume stadium Arusha na CCM kirumba Mwanza. Serikali imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Ukiona kiongozi anapenda kila anapokwenda vyombo vya habari vimpige picha na kuposti tambua huyo hana maono. Utendaji kazi haupomwi kwa wingi wa picha na ziara ulizofanya; utendaji kazi upimwa...
1 Reactions
2 Replies
265 Views
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali. Hayo yameelezwa...
0 Reactions
4 Replies
350 Views
Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi...
1 Reactions
1 Replies
451 Views
Mnaopiga Makelele kuhusu Kikokotoo, FAO la kujitoa hamulioni? Maumivu ya Kikotoo ni nafuu kuliko Mateso ya Fao la kujitoa.
1 Reactions
0 Replies
280 Views
Back
Top Bottom