Habari zenu Wakuu,
Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao...
Rais Samia amekuwa akisifiwa na machawa wake kwamba ni mpenda demokrasia eti ndiyo maana ameanzisha 4R.
Lakini kadiri muda unavyokwenda matendo yake ya kiuongozi ndani ya chama na serikali...
Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza...
Kwa wazoefu wa mambo ya Audit wanajua fika kwamna hata kabla ya report ya mwisho kutoka kama taasisi yenu ilishindwa kutoa ufafanuzi basi inakula kwenu.Na huhitaji kungoja report ya mwisho kujua...
Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Rais Samia Suluhu Hassan amemwongezea miaka miwili ya kuliongoza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Ayub Rioba Chacha.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie!
Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Mobhare Matinyi
Msemaji Mkuu wa Serikali.
========
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare...
We JARIBU kufikiri Eti mafuta juu,vyakula juu kisa sekta Binafsi inatafuta faida kubwa kwa kuwanyonya wananchi!
Una jkt,magereza,watoto wa mitaani wanaokua Panyaroad halafu Eti unashindwa...
Anaandika Boniface Jacob katika ukurasa wake wa X
Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani...
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
📌 Asema limepunguza athari za mafuriko
📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika
📌...
Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist...
🗓️20 Aprili, 2024
📍Gymkhana, Zanzibar.
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema anapenda kuona Haki ya msingi ya Kikatiba ya Kujieleza ikiheshimiwa
Kigwangala amedai yeye binafsi ataipigania na kuitetea Haki ya msingi ya Mange...
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma...
Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23.
Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni...
Ni muhimu vijana kuwa Wazalendo, Tanzania ni yetu wala sio ya Wakenya, Tanzania itajengwa na Watanzania tu.
Vijana ni muhimu kusimama na Serikali yenu, Hakuna kiongozi yeyote ambaye anafanya...
Luhaga Mpina ni miongoni mwa waliowahi kuwa Mawaziri wa Tanzania, ambaye alihujumu uchumi wa nchi kwa kiwango cha kutisha. Huyu alichoma nyavu za wavuvi kila kona ya nchi ili asifiwe na Magufuli...
Jamani serikali ya ccm kuweni wasikivu kama mnavyojiita.
Mpo tayari kuwanunulia wakuu wa mikoa na wilaya magari ya kifahari kwa sifa zipi au kazi ngumu zipi?
Hayo mabilioni mgejengea barabara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.