Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Serikali imesema inakuja na muongozo wa wanaojitolea kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali utakaoangalia ni kwa namna gani wanaweza kulipwa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
"we will stop rain for you." ni kauli ya rais wa awamu ya sita waJamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa filamu ya royal tour huko nchini marekani. Alisema kauli hii katika kuwatia...
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Tanzania Ni miongoni mwa nchi maskini huku wananchi wakiishi chini ya Dolla 1 huku kipato Cha wastani kikiwa hakizidi Dola 2.5 kwa siku. Nimuhimu kubana matumizi
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi. Kwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Huyu kiongozi wa UVCCM huko Kagera aliyesema atawapoteza Wapinzani na polisi wasiwatafute kama atakuwa bado yuko ofisini mpaka kufikia leo jioni baada ya kumsikia Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI. Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo...
4 Reactions
9 Replies
842 Views
Kila nikitafakari nashindwa kuelewa, chama kilicho madarakani kupuuzwa na watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi, ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi...
10 Reactions
106 Replies
10K Views
MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA 1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa. 2. Akemea lugha za mauzi...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Tume ya madini, kama mmemsikia majibu ya waziri Mkuu aliyotoa Bungeni leo Aprili 18, 2024, basi msiwe na kigugumizi kuhusu kuifuta PL/6973/2011. Sababu za kuomba ifutwe na kukubaliana na kauli ya...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani...
0 Reactions
4 Replies
669 Views
Na Mwandishi Wetu, Mara MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK...
1 Reactions
2 Replies
364 Views
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Gp8bHGqD8Pk https://www.youtube.com/watch?v=fgS_7suPjm0 Mbunge Francis...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka: Kwamba: 1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati...
17 Reactions
186 Replies
8K Views
Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake. Kwa mawazo...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa...
3 Reactions
5 Replies
744 Views
Back
Top Bottom