Baada tu ya Komredi Makala kutangazwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM Chama Kikuu Cha Upinzani kikasema Makala hauwezi kukubali kufanya mdahalo
Lakini wakati wa kupokelewa ofisini Lumumba Komredi Makala...
CAG anasema mkandarasi anaejenga bwawa la Nyerere amekataa kutekeleza Miradi ya CSR iliyopendekezwa na Tanesco Kwa kuwa haihusiani na mradi wa bwawa la Nyerere Moja kwa Moja hivyo inakiuka...
Mufti Abubakar amesema Bakwata itafanya Maombi ya kuliombea Taifa kwa kutimiza Miaka 60 ya Muungano wetu siku ya tarehe 22/04/2024 Nchi nzima na viongozi mbalimbali watahudhuria
Wiki linaloanza...
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kore Duniani , inadokeza kwamba Mzungumzaji Mkuu atakuwa John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki
Bado hatujajua kama atazungumzia lolote kuhusu...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja...
UWT YATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KIBITI
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Aprili 17, 2024 wamekabidhi msaada wa Chakula na mahitaji maalum kwa...
Ule mpango kazi wa Chadema wa kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa , unaoitwa Chadema Digital umeingia Wilayani Rungwe baada ya kumaliza kupita vijiji vyote vya Kyela kwa kishindo .
Sasa...
Kelele ni nyingi juu ya kinachoitwa matusi. Lakini je, tuna tafsiri sahihi ya tusi? Tusi ni nini?
Ukifanya jambo la kipumbavu, halafu ukaitwa mpumbavu, linakuwa ni tusi au siyo tusi?
Hayati...
Kuna watu wanadhani tuna chuki binafsi na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano bwana John sio kweli hata kidogo.
Tunapoongea kuhusu maovu ya Serikali yake ni ili kutoa uelewa kwa wananchi na viongozi...
Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema...
Niko Rukwa kwa kazi zangu za uandishi wa habari za mazingira siku 5 Sasa. Hapa naongea toka kijiji cha Kabwe wilaya ya Nkasi.
Hapa Niko Jimbo la Nkasi kaskazini Kwa Mbunge pekee wa kuchaguliwa wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio...
Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali...
Habari wapenzi na mashabiki wa jukwaa hili pendwa.
Naomba kuuliza alipo kijana Kheri James, moja ya vijana mahiri wenye ushawishi mkubwa wa siasa hapa Tanzania kwa mujibu wa jarida fulani.
Mara...
Nashindwa kuelewa tusimame kwenye kauli ya yupi!!
Sielewi ni kauli ya yupi ina uhalali baina ya hawa wawili!!
Sielewi mbaya hasa kwa mujibu wa sheria hapa ni nani,baina ya wanaosemwa wanatukana...
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.
Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!
Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.
Na as long as...
Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024...
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote.
Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na...
Akichangia katika bunge la JMT Mbunge wa Mtera Lusinde ameitaka serikali izingatie matokeo ya sensa katika ugawanywaji wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na barabara, anasema huduma hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.