Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza...
1 Reactions
3 Replies
373 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia...
12 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mualiko...
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Hashim Rungwe Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila kuwa na Katiba mpya. Anasema haamini kama Tume...
4 Reactions
10 Replies
721 Views
Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Tusiache wala kukubali wala kukaa kimya wala kupuuzia wala kuona ni kawaida wala kusema haituhusu wala kuacha kulaani na kukemea mtu au watu au kikundi cha aina yoyote ile...
12 Reactions
317 Replies
8K Views
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana. Hii...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna hiki chama kinaitwa Mtetezi wa Mama Tanzania na kinaonyesha kina viongozi hadi wa mikoa, jee kimesajiliwa kweli? Na kama kimesajiliwa taratibu zimefuatwa au ni uhuni tuu? Msajili akumbuke...
10 Reactions
25 Replies
968 Views
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️ Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja? Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja? Kudhalilisha...
7 Reactions
53 Replies
1K Views
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Abdalla Shaibu Kaim na Timu yake yote wameipongeza sana Serikali na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa michango mikubwa ya kifedha kwa...
0 Reactions
4 Replies
370 Views
SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Hakika leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
EWE KIKOKOTOO NI NANI? 1:Nauliza Mimi ,Ebu nipeni majibu, Kikotoo kinajaliwa,Hakipati Majibu, Ewe Kikokotoo ni nani? 2:Watu wanakufa, Wanapooza, Hutaki kujibu,huna Huruma, Ewe Kikokotoo ni...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara. Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe...
2 Reactions
6 Replies
528 Views
Shehe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar amesema Ijumaa itakuwa ni siku Maalumu ya kuliombea Taifa juu ya mvua zinazoendelea kunyesha Mungu wa Mbinguni mbariki Mufti Abubakar
2 Reactions
33 Replies
1K Views
MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha...
1 Reactions
6 Replies
971 Views
Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji...
1 Reactions
8 Replies
701 Views
Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake inakamilisha taratibu za kuajiri watendaji wa kata 525, watendaji wa vijiji 1,986...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya nje Augustino Mahiga amesema kuwa Magufuli hasafiri nje kwa sababu anabana matumizi. Ameongezea kuwa maafisa wa serikali walikuwa wanasafiri sana nje na sasa wameona...
5 Reactions
199 Replies
20K Views
Back
Top Bottom