Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani. Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
junta WA Mali anataka umiliki wa migosi ya dhahabu asilinia 30 huku akitageti kuumiliki Moja kwa .ojo mgodi mku WA WA barrick kama watadelay kukubali umilikiwa hisa asilimia 30.Tanzania ya mama...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Asalaam Aleykum wana JF. Moja kwa moja niingie kwenye mada. Kila siku mambo yanazidi kuwa magumu kwa walio wengi kutokana na gharama za maisha kupanda kila uchao ilhali kipato kikiwa palepale au...
3 Reactions
15 Replies
628 Views
KATIKA kuitikia wito wa Serikali ya Rais John Magufuli wa kuifanya Tanzania nchi ya viwanda, Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), unakusudia kufufua viwanda 25 ambavyo vimeshindwa...
6 Reactions
81 Replies
8K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 6, leo Aprili 15, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=51y0PHIx7WU Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa...
12 Reactions
90 Replies
5K Views
Katika harakati za kusaka wazamini Dr. Magufuli amekataa kutoa ahadi kama wafanyavyo wagombea wengine. Akiwa Bukoba amesema kuwa kufanya hicho ni kinyume na taratibu za chama. Amesema chama kina...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Posho ni malipo ambayo hulipwa kwa mtumishi wa umma kwa kuzingatia kiwango cha mshahara na mahali anapofanyia kazi. Kwa maana hiyo tunaweza kuwa na kiwango sawa cha mshahara tukishiriki shughuli...
0 Reactions
3 Replies
525 Views
Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi...
25 Reactions
99 Replies
6K Views
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shaban sisi wananchi wa Hai tunakuhitaji sana Jimboni Hai na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka weru weru mpaka Rundugai...
1 Reactions
11 Replies
765 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kitasakwa kilichopo kata ya Bwiregi wilayani Butiama ikiwa ni utekelazaji wa ilani ya Chama cha...
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Kwa kweli hali kisiasa nchini imepoa sana hadi inaboa kabisa. Ndio maana hata watu wengi hawajui nini kinaendelea kwenye siasa za nchi hii. Huwezi amini eti kwasasa bunge linaendelea hakuna...
0 Reactions
8 Replies
401 Views
Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji...
3 Reactions
11 Replies
832 Views
Back
Top Bottom