Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika...
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya Sh56.64 bilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni ongezeko la asilimia 61, ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita.
Ripoti ya mwaka ya...
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi...
Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na...
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza...
Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo...
Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa...
Mwaka 2021 nilishangaa Msafara Wa Waziri Mkuu ulivyokuwa haujapangiliwa vizuri na nikasema ule ulikuwa ni upotevu Wa Hela za umma.
- Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?
Leo Tena...
Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali.
(1) Wananchi...
Mitandao ya kijamii hasa instagram kuna majibizano makubwa yanaendelea. Kadri siku zinavyokwenda wafuasi wa CCM aidha kwa kufahamu magile yao ni machafu au kwa nidhamu ya woga wamekuwa siyo silaha...
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka.
Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana.
Kuna mabadiliko makubwa...
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo.
Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli...
Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka...
Sijatumwa, lakini ikikupendeza,
Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti.
tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo...
Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka.
Usikute...
Wengi wameshangaa RC Makonda kuombewa na viongozi mbalimbali wa Dini lakini wanasahau Mrisho Jambo mbunge wa Arusha ambaye ni mwislamu anaombewa na Nabii mkuu Geo Davie
Nakumbuka waziri wa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.