Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu wakulima wenzangu habari njema zimetangazwa. Rais wa JMT Samia Kupitia Waziri wa Kilimo bwana Bashe ametangaza kuanza kununua Mahindi Kwa awamu ya pili baada ya awamu ya kwanza kukamilika...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza...
1 Reactions
7 Replies
426 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Mhessimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi katika muendelezo wa ziara zake anayoendelea nayo nyanda za juu kusini akiambatana na baadhi ya wajumbe wa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM na team yake , akiwemo Pedeshee Amos Makalla wameanza ziara ya kinachoitwa kujitambukisha huko mikoani , Leo wako Katavi . Hatuna kesi yoyote na wao kufanya ziara zao , Japo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiitafakari nchi ya Tanzania, ni kama nchi bandia iliyojaa mambo bandia yanayochekesha na kuudhi. Fikiria kuwa kwa miaka mingi Watanzania wametaka kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, wakimaanisha...
2 Reactions
6 Replies
310 Views
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Asifu Utendaji Kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuheshimisha Wanawake, Serikali na CCM Katika Kipindi cha Miaka Mitatu Aliyokaa...
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
3 Reactions
19 Replies
752 Views
Mara nyingi hata watu wazuri walichafuka kwaajili ya kujishikamana na watu wenye matendo machafu. Kuna misemo na mausia mengi kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka kwenye jamii juu ya wale...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kama ilivyo kawaida kwa shughuli...
3 Reactions
76 Replies
2K Views
Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni. Watanzania tuna mengi ya kuridhika...
2 Reactions
57 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari Habari za...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE...
0 Reactions
1 Replies
315 Views
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho. Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa...
7 Reactions
13 Replies
775 Views
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba Amesema ingawa Rais Samia alipokea Nchi ikiwa kwenye Hali ngumu ya kiuchumi kutokana na Changamoto za Kidunia sanjali na tukio lisirotarajiwa la kifo Cha Rais...
8 Reactions
132 Replies
5K Views
Kama ikitaka kujulikana na wananchi kuujua ukweli na serikali iliyopo madarakani kuutumbua ukweli ,je inawezekana ? Kuna vifo vimetokea na kuvuma kwa aina kuwa hao wameuliwa na serikali...
4 Reactions
42 Replies
10K Views
Wananchi wa Loliondo wamesalitiwa tena. Kwa kipindi hiki ni mbunge wao Saning'o Ole Telele na Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka. Kuna tetesi kuwa Sendeka alisafirishwa kutoka Arusha kwa gari ya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ukienda China kuna mfumo wa mikoa kama kwetu. Wao wanaita Provinces, na tofauti yao na sie ni kuwa wao mikoa yao ni mikoa ya kiuchumi ( Economic provinces) wakati sie mikoa yetu ni mikoa ya...
45 Reactions
167 Replies
10K Views
Kwa miaka zaidi ya kumi chama cha mapinduzi kimewekeza kutengeneza watu tegemezi na wasio na sifa za uongozi. Kimewatengeneza akina Makonda, Kihongosi, heri James, Sabaya, Jery na akina Mange ...
7 Reactions
12 Replies
684 Views
Back
Top Bottom