Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka...
Heshima sana wanajamvi,
Huko CCM mambo yamekuwa mambo nahodha haheshimiki tena kila mmoja na lwake.Wote wanataka nafasi ya nahodha wanasema muda wake umeshapita keshakula vya kutosha atuachie na...
Wadau nawasabahi,
Nimeona niingie Mtandaoni kwenye Wajuzi wa Mambo.Hivi majuzi Nchi imefanya kimbukumbu za Viongozi wetu Waliotangulia Mbele za haki.Viongozi hao ni pamoja na Rais za Zanzibar...
KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI?
"Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu...
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe...
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa...
ACT Wazalendo tunalaani matukio ya Jeshi la Polisi kuvamia wananchi Mkoani Kigoma.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Sekta ya Mambo ya ndani ya nchi inalaani kwa nguvu zote kitendo cha Jeshi la...
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa...
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni...
Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma.
Magreda...
Nchi ya one man show.
Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi.
Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria...
Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais.
Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means.
Hizi...
Huenda Makonda alikuwa na nia nzuri ya kutaka kulinda hadhi ya Mh. Rais kwa kuwakemea wanaomtukana. Alichosahau ni kuwa kumbe yeye ndo kamtukana tusi baya hadharani.
Yaani Makonda ameuambia umma...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni kumi kwa Msanii wa Taarab Zanzibar Bi Mwanahawa Ali ikiwa ni sehemu ya kumfariji na kumsaidia...
Natafakari simulizi hii aliyoitoa Mstaafu Kikwete pale Lupaso wakati wa kumuaga hayati Mwinyi
Halafu Leo kuna mawaziri wanamtukana Rais
Bure kabisa hawa vijana 🐼
TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP
DODOMA: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua kuwa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) limechangia kwa...
"Lengo la ziara yetu ni kutazama tena, kuhuisha mwamko ndani ya chama chetu na ndio maana kazi ya kwanza tumefanya katika eneo hili (Mpanda/Katavi) ni kwenda kwenye shina namba tano (5) ili...
“Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na...
Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.