BANDARI YATEKELEZA KWA KISHINDO MAAGIZO YA MAMA SAMIA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), chini ya Uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wake, Bwana Plasduce Mkeli Mbossa imefanikiwa kutekeleza...
Kumezuka tabia mbaya ya kutumia Fedha za Umma eti kusaidia watu waliokumbwa na Mafuriko ya kile kinaitwa mvua za El Nino.
Jambo hili amelieleza Vizuri RC Makonda alipotembelea wahanga huko Arusha...
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi...
Ndugu zangu Watanzania,
Msione Lema ameanza kuweweseka na kupiga mayowe mitandaoni kabla hata Mwamba Mwenyewe Makonda hajaapishwa na kwenda kutua katika ardhi ya Arusha na kitovu cha utalii...
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ASHIRIKI SHEREHE ZA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO ZANZIBAR
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, Aprili...
Wananchi katika Mkoa Wa Arusha wameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea kufanya na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Nchini hususani katika kuwaleta wananchi pamoja na utekelezaji Mbalimbali Wa...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya mwanahabari Odemba na Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo ameeleza mambo mengi sana kuhusu mbunge huyo wa zamani wa Arusha...
Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani...
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM...
Baadhi ya taa za barabarani katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu zinapowekwa kwa mara ya kwanza huwa zinawaka lakini baada ya muda utakuta au baadhi ya taa au taa zote kwenye barabara husika...
Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu.
Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea...
Habari Wana JF,
Nafahamu kuwa siasa haiangalii elimu uliyo nayo hata Kama we ni darasa la Saba una weza kuingia kwenye siasa. Mimi ni kijana nilie hitimu kidato Cha nne lkn kila siku za maisha...
Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya...
Vyombo vyetu vya Ulinzi,Usalama na Ujasusi vinafanya kazi kubwa sana toka tupate uhuru..Lakini pia bado tuna mianya mingi na mapungufu ambayo vinapaswa kumulika zaidi Kwa faida ya Taifa letu...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani...
Habari wadau,
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.
Mimi ninafanya shuguli zangu nchini...
Taarifa zilizotufikia kutoka Mjini Tanga, zinaeleza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezuiliwa kufanya mkutano wa Hadhara Mjini humo, Mkutano huo ulipangwa kuongozwa na...
Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani
Makala amesema wanajua Wananchi Wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.