Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Haya mambo ya Kutukana viongozi yameanza kitambo sana ifike wakati sasa Serikali ikomeshe hii Tabia Nawasilisha!
5 Reactions
9 Replies
302 Views
Ktk page yao wanAnalalamika Palestina kupewa na Iran . Halafu wnalalamika Ukrain kunyimwa pesa na Marekani ili kupambana na Urusi Bbc swahili website yenu ibadilike. Waandishi wasiwe bias...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Chifu Wanzagi Nyerere ameomba Serikali itenganishe siku ya uzimaji Mwenge na Kumbukizi la Mwalimu Nyerere 14 October Chifu Wanzagi amesema kama haiwezekani basi wanaomba Maadhimisho ya Nyerere...
2 Reactions
4 Replies
534 Views
Salaam, shalom!! Nimefuatilia hotuba fupi ya RC wa Arusha, ilijaa utulivu na mtiririko uliopangika kabisa, hivyo kusema kuwa aliropoka, Si Kweli, alidhamiria kusema aliyosema, Tangu Mropokaji...
10 Reactions
165 Replies
5K Views
Happy birthday Mwalimu Nyerere #Tanzania We will appreciate your contribution to the building of the Nation and Africa Miaka 102 iliyopita alizaliwa Julius Kambarage Nyerere! Leo ndo ilitakiwa...
2 Reactions
19 Replies
629 Views
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa ===== Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel...
2 Reactions
10 Replies
915 Views
Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Nauliza tu kwanini? Wakati ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa hili kwa kila hali Nashauri watoto wake na wao waandae kumbukumbu yake itasaidia utawala kumkumbuka
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa...
1 Reactions
9 Replies
701 Views
1. Kutokujua anataka nini kwenye siasa. Mara anataka demokrasia lakini hataki katiba mpya. Mara anataka katiba mpya lakini baada ya miaka mitatu. Mara anataka chaguzi huru lakini anataka mkwe wa...
7 Reactions
9 Replies
802 Views
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye...
9 Reactions
112 Replies
11K Views
Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali...
2 Reactions
17 Replies
964 Views
Akiwa Katika mjadala mkali na Tundu lissu na Kabwe zitto. Nape amesisitiza mpaka ndani ya chama cha ccm Magufuli ameacha Funzo kubwa sana kuna mambo ndani ya chama hasa sheria na kanuni zinapaswa...
61 Reactions
124 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa jirani hakukaliki wala hakuna utulivu wala amani ndani ya nyumba yao. Hii ni baada ya hali ya kutoelewana kati ya Mbowe na lissu kwa muda mrefu sana kunakochangiwa na...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Idumu serikali ya CCM! Moja kwa moja kwenye mada yangu. Mkoa wa Arusha nchini Tanzania utashuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi baada ya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa. Kabla ya...
1 Reactions
8 Replies
726 Views
Waziri wa mambo ya Nje mh January Makamba amesema Rais aliyeko madarakani anapoendelea na muhula wake wa pili ndipo kunakuweko Fitna nyingi ndani ya Chama Makamba ameongea haya kutokana na uzoefu...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Heshima wakuu, Naomba nitumie nafasi hii kumtia moyo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Kutokuwa kwenye Uongozi sio ukilema au kwamba hujui kazi, hapana bali ni katika hali ya kawaida kubadilisha...
52 Reactions
161 Replies
48K Views
Back
Top Bottom