Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu Rais Magufuli, ndugu Majaliwa Waziri mkuu, ndugu Mhagama waziri mhusika salam sana kwenu. Leo naandika kuwauliza kama mnajua kwamba OSHA kuna mateso na kuna Malkia. CEO wa OSHA nani kampa...
3 Reactions
53 Replies
11K Views
Bwawa la mwalimu Nyerere limejaa kabisa mpaka kufikia ujazo wa MITA 185 kati ya mita 186 kutoka usawa wa Bahari. Hivyo Serikali kuanzia Muda wowote itaanza kumwaga maji au kufungulia maji Kwa...
23 Reactions
93 Replies
7K Views
Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine? Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Moja kwa moja kwenye mada Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person...
23 Reactions
77 Replies
3K Views
Dogo Jembe, Salamu zangu zikufikie popote pale ulipo, sijui mbumbuli, sijui Lumumba sijui Dodoma unapajua wewe. Umekuwa ni mwanasiaswa wa kubebwa bebwa. Mkapa alikubeba ukasoma na hela za...
8 Reactions
157 Replies
23K Views
Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya...
3 Reactions
9 Replies
653 Views
Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini. Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au...
0 Reactions
3 Replies
366 Views
Imebidi nicheke, CCM wamethink deep na kuona changamoto kubwa inayowakabili wananchi kwa sasa ni kutaka TUME HURU, tume ambayo itakuwa inasimamia uchaguzi kwa haki. Solution tuliyokuja nayo kama...
11 Reactions
78 Replies
2K Views
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji...
68 Reactions
186 Replies
14K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika...
24 Reactions
55 Replies
3K Views
Hadi sasa Viongozi waliotengenezwa na hayati Lowasa na hayati Samwel Sitta ndio wameonekana kuwa na Ujasiri ndio hawa Akina Makonda, Zitto Kabwe, Nchimbi, Bashe, Mbowe, Aziz nk Kundi la pili ndio...
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma...
4 Reactions
93 Replies
6K Views
Nchi nyingi sana Duniani huwa zina take Care sana ya Raia wao, wakati wa shida hasa inapo tokea majanga kama mafuriko au moto au tetemeko, hata kama janga limekumba raia mmoja tu, haijalishi. Na...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu. Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya...
6 Reactions
13 Replies
553 Views
President John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including: Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
13 Reactions
95 Replies
3K Views
Back
Top Bottom