Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member...
Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama...
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu...
Naibu Katibu mkuu wa CCM John Mongella amesema Ushindi wa CCM ni lazima hakuna Mjadala kwani sekretarieti mpya imesheheni Watu Wenye utaalamu wa mbinu mbalimbali
Mongella amesema Wanaccm Msiogope...
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani...
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 31 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za...
Vijana Wanasiasa kama Bavicha, UVCCM, Ngome ya Vijana jifunzeni Uzalendo kwa hawa Majemedari niliowataja vizazi vyenu vitaheshimiwa Daima
RIP Edward Sokoine
RIP Julius Nyerere
RIP Shujaa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee...
Vyanzo vyangu ndani ya CCM vinadokeza kuwa wanahabari wawili, Dennis Joe Msacky na Aboubakary Liongo wamelamba teuzi.
Dennis Joe Msacky kateuliwa kuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji.
Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa:
1. ISO...
Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa...
Nawashauri wananchi wa Rufiji, wakija ACT au Chadema hawana misaada fukuzeni haraka virusi hivyo, hali mliyokuwa nayo ss hv sio ya kukosoa, mnahitaji faraja na misaada kuliko wakati wowote, CCM...
Uhuni, usanii, ghiliba, ulaghai na hadaa ya Serikali ya CCM na Rais Samia kuhusiana na Tume ya Uchaguzi kwa Watanzania, inadhihirisha dhamira yao mbaya kwa Taifa letu.
Serikali ya CCM inatumia...
April 12, 1984 Nilikuwa na umri wa miaka zaidi ya 10. Nalikumbuka vizuri tangazo la Mwalimu akitutangazia kifo cha Waziri Mkuu aliyepata kupendwa zaidi na Watanganyika Tangu Uhuru Edward Moringe...
Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini...
https://youtu.be/IAut5DN7qE0
Tangu Paul Makonda alipoanza kazi baada ya kuteuliwa kuwa Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM mitandao ya kijamii imesema mengi juu yake na ofisi aliyoteuliwa kuitumikia...
Kweli Dunia ina mambo. Hivi karibuni kulitokea msiba wa Mama yake Zitto Kabwe huko Kigoma lakini jambo la kushangaza viongozi wa juu wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe hawakuweza kuhudhuria lakini...
MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni...
Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika.
Nani mwenye uthubutu?
Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na...
Nimefarijika jinsi watu wanavyo chukua hatua ya kugombea ubunge na udiwani.Manyara,Tanga,Arusha na Kilimanjaro,tutapigana kufa na kupona ktk uchaguzi,tuendelee kuimarika ktk haki kwamba kesho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.