Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ndio habari inayobamba huko biunga vya CCM Mbeya ,kwamba Spika wa Bunge na Rais wa Mabunge Duniani atakuwa mgombea pekee wa Jimbo la Mbeya Mjini Kwa time to ya CCM. ---------- Kauli ya...
2 Reactions
8 Replies
955 Views
Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amezuru kaburi la hayati Sokoine ikiwa ni maandalizi ya Kumbukizi la Miaka 40 ya Kifo chake Makonda amewataka Vijana wa Tanzania kuiga Uzalendo wa hayati...
4 Reactions
6 Replies
810 Views
1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya...
21 Reactions
115 Replies
14K Views
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Waziri mh Jenister Mhagama amesema serikali itagharamia huduma zote wanazostahili kupata Waathirika wa mafuriko ya Rufiji Aidha mh Mhagama amesema wananchi wawe wasikivu kwa Viongozi wa Serikali...
1 Reactions
2 Replies
513 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Hakuna aliyeleta mafuriko, Serikali ya awamu ya Sita iko nanyi kuhakikisha kila mtu anapata huduma za kibinadamu. Kama tulivyokuwa wamoja Rufiji, tuko pamoja Arusha pia. Badala ya kusmbaza...
0 Reactions
4 Replies
390 Views
Katiba mpya! Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]? Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:- 1. Samia...
21 Reactions
51 Replies
2K Views
Kuanzia kesho April 12 tutakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi badala ya hii NEC ya sasa ambayo inakoma Aliyewezesha kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi ni Mwenyekiti wa Kikosi Kazi Prof Mkandala Katika...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel. Pasipo kujali...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Rais Samia amesema pamoja na kutoa Maelekezo Kwa TRA wasichukue Kodi za Dhuluma ila anasikitika kwamba wafanyabiashara ndio wamekuwa Wanaidhulumu Serikali Kwa kukwepa Kodi. Samia amesema watu...
8 Reactions
130 Replies
4K Views
Mhe. Mbunge wa Ngorongoro ameongea kwa uchungu sana wakati akichangia Makadirio ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutelekeza huduma za msingi zilizokubaliwa kisheria...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Bank ya dunia leo hii wametoa hali maendeleo ya kiuchumi hapa duniani. Wamesema hiviiiiii, kuwa uchumi wa Kenya unakua kwa kasi sana kuilinganisha na uchumi wa Tanzania. Juzi mh Mwigulu...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha. Jiji la Arusha lina changamoto...
1 Reactions
1 Replies
593 Views
John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa...
2 Reactions
2 Replies
649 Views
Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya...
17 Reactions
103 Replies
4K Views
Salaam Kumekuwa na tabia za Viongozi wa kiasa nchini kwetu kujiweka mbele sana kwenye majanga kama mafuriko na mengine. Kwanza, ni matumizi mabaya ya pesa za umma viongozi wengi kujazana sehemu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom