Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo.
Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin...
Ameandika hivi kupitia mtandao wa X:
Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 CHADEMA chukueni suala la kikotoo cha mifuko ya pensheni kama ajenda muhimu ya uchaguzi.
Mkiwapa wafanyakazi ahadi ya kurudisha kikotoo cha zamani ambapo...
Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa.
Tusikilize uchambuzi makini.
Wadau nawasabahi.
Pamoja na Elimu ndogo ya Mambo ya sheria lakini nimepata mashaka kidogo juu ya KATIBA na TUME ya UCHAGUZI.
Binafsi naamini KATIBA ndio Chombo cha Sheria zote za Nchi. Vitu...
Source: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe...
✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI.
Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali...
Kuna Taarifa kwamba asubuhi ya Kesho, kwenye Kipindi chao cha Power Breakfast wamealikwa wanasiasa wawili, Mmoja ni Zitto Kabwe ambaye ni mshirika wa SUK, Mwingine ni Makamu Mwenyekiti wa...
Ukiwa leo umesherehekea sikuku ya Idd vizuri.
Tumia hata dakika moja kuwaombea Watanzania wenzetu wa Rufiji wanaopitia wakati mgumu kwa mafuriko.
Ukiwa sebuleni na familia yako ukitafakari ya...
Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM
haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL.
Siamin kama...
Tunaposema Vyama vya Siasa haviwezi kutengeneza Katiba mpya ya Wananchi muwe mnatuelewa
Sasa NEC imebatizwa kwa Maji Mengi imekuwa Tume Huru ya Uchaguzi
Chadema na ACT wazalendo mnafeli Sana...
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye...
Rostam Aziz: mahakama zetu sio huru ni sahihi Kwa Dp world kuweka kipengele cha mahakama ya South Africa.
Kwanini mahakama zisimchukulie hatua kali iwe fundisho. Anafikiri ukiwa na pesa unaweza...
Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga.
Baada ya Rais...
Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki...
Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa...
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina Sekondari 28, kati ya hizo 26 ni za Kata/Serikali na 2 ni za Binafsi (private). Wanavijiji...
TRA kuweni serious !
Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya...
Hili Neno la kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki linanikumbusha wakati wa uchaguzi wa 2020 Rais Magufuli aliwatangazia Watanzania kuwa Uchaguzi wa 2020 utakuwa huru na haki.
Yaliyojitokeza katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.