Mpaka hapo Hilo bwawa limegeuka kuwa catastrophe Kwa Wananchi.
Unaambiwa ikitokea bahati mbaya likavunja Kingo zake,Rufiji nzima itakumbwa na Mafuriko...
Kama tulivyosema awali Uchumi wa Tanzania unazidi kuanguka kifo cha Mende , hii ni baada ya Wananchi kushindwa kumudu hata kununua kilo ya Nyama .
Familia nyingi za Uswahilini hasa zenye watu...
10 April 2024
MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024
RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI...
UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA
#NECijiuzulu #INECiingie
Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi...
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huna Sababu ya kupambana na mamlaka, nimekusoma Kule X
Ushauri wangu kwako soma Marko 12:1-10 Mkulima mwenye shamba,utabarikiwa
Eid...
BALOZI NCHIMBI AKOSHWA NA MAFUNZO YA VIONGOZI WA KISIASA WANAWAKE NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amefurahishwa na mafunzo yanayotolewa kwa...
Kwa mujibu wa Mhandisi wa Tanesco ni kwamba kilichosababisha Mafuriko huko Rufiji ni Wananchi waliovamia mkondo wa Maji na Sio Bwawa la Nyerere.
Mhandisi huyo mbobezi amenukuliwa akisema mwaka...
Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine
"….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote.
Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity...
Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao.
uchaguzi wa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada...
Suala la kikotoo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete lakini zilitengenezwa mbinu fulani likahairishwa na mfupa akatupiwa Hayati Magufuli katika awamu ya tano.
Pamoja na...
Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya...
Lucas Hapa kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata zamani palikuwepo Shule ya Sekondari ikiitwa Kinondoni Muslim aka Kimbweru na pembeni palikuwepo Msikiti mdogo na ofisi za Bakwata na kota chache za...
Tanzania Chini ya CCM ni Nchi ya Vichekesho.Utasemaje Tuna TUME HURU ya UCHAGUZI wakati Mwenyekiti wa Tume na Makamu Mwenyekiti wanateuliwa na MGOMBEA URAIS?
TUMEBADILI JINA la TUME lakini TUME...
Bismilahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
S.L.P. 2055 DAR ES SALAAM.
WARAKA WA IDD - Shawal 01, 1445 - April 10, 2024
Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa...
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza...
-- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa
-- Wananchi wameanza kuambiwa...
Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.