Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jacob Zuma kahudumu kama rais wa Afrika kusini zaidi ya miaka 8, leo akiwa na umri wa miaka 81 anataka tena kugombea ubunge. Ni kitu gani anaweza kuifanyia nchi yake akiwa mbunge, ambacho...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
Kuna vijiminong'ono! Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO? Jibu ni ndiyo! Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nguvu na ushawishi alionao Mheshimiwa Makonda katika Taifa hili siyo wa kawaida, siyo wa kibinadamu, siyo wa kubezwa ana nguvu za aina yake, kipawa cha kipekee na Karama...
8 Reactions
91 Replies
3K Views
Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi...
0 Reactions
39 Replies
1K Views
Kuna wizi mkubwa ulifumbuliwa na report ya CIG, lakini wizi ule haujachukuliwa hatua yoyote. Kuna wizi mkubwa unaendelea huko mawizarani na kwenye taasisi za umma lakini hakuna mbinyo wowote...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa...
16 Reactions
74 Replies
4K Views
https://www.instagram.com/p/C5ptXhRIn7B/?igsh=MW80Ynk5cXV3ZDEwcA== Mwaka huu imepita miaka 40 tangu kifo Cha Hayati Edward M.Sokoine ambae aliwahi kuwa Waziri Mkuu enzi za Mwalimu na kufariki Kwa...
7 Reactions
98 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Rais Pole kwa majukumu mengi sana. Nikupongeze...
2 Reactions
12 Replies
837 Views
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani...
3 Reactions
5 Replies
498 Views
Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Kila kitu kina uwezo wa kutanuka na kuenea àmbao Una kikomo. Kikomo hicho kinaweza kuwa cha asili au cha kusababishwa ndani au nje au kitu chenyewe. Kwa matendo ya ubinafsi ya viongozi wa...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Wapo kuhangaika na kauli ya spinning doctor makonda. Wapo bize kutaka kuwafahamu hao mawaziri Hawakumbuki chozi la mwanae sokoine alipo kuwa akisoma historia. Hawataki kujua limebeba ujumbe gani...
1 Reactions
10 Replies
719 Views
Kama taifa tumefanya kosa kubwa sana kuruhusu na kuulea uchawa. Kwamba mtu anayesifia na kujipendekeza kwa rais anaonekana ndiye mwema na mzalendo sana kuliko yule amabaye anapongeza kimya kimya...
14 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Samia amesema huko Zanzibar waliwahi kuwakamata Wafanyabiashara wa magendo wa karafuu na walipochunguza wakakuta yumo Kiongozi mkubwa wa Serikali Boss yule mkubwa wa Serikali alipohojiwa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Eid Mubarak Wanachama wa Jf na watanzania wote. Ninaomba tujadili hii kauli ya Mzee wetu Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kuna eneo la msingi na LENYE maana kubwa kwetu sisi watanganyika kuelekea 2025...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiwa Rais inabidi uwe na ngozi ngumu. 1. Utakosolewa, Utasakamwa, Utatukanwa. Hapa inabidi uwe mvumilivu kwelikweli 1) Magufuli alitukanwa sana mitandaoni. 2) JK alitukanwa sana mitandaoni...
4 Reactions
16 Replies
803 Views
Back
Top Bottom