Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amehimiza suala la nidhamu, maadili, uwajibikaji, uadilifu, mshikamano, umoja na upendo baina ya viongozi na...
0 Reactions
2 Replies
375 Views
Mbunge Dkt. Joseph Mhagama: Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Kutumia Fedha za Ndani “Kamati inapongeza jitihada za Serikali kuendelea kupanga bajeti ili kutekeleza miradi mingi zaidi kwa kutumia fedha...
0 Reactions
6 Replies
518 Views
Mwaliko huo Kabambe umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo kubwa kuliko zote za Vijana Barani Africa , John Pambalu alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Chama hicho , Nje ya...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Safari ya Makonda Siasani kwa sasa inafanana sana na safari ya Augustine Mrema 1995 Makonda anaweza kugombea Urais kwa ticket ya Chadema na kurekebisha pale walipokwama Lyatonga na Laigwanani...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
MBUNGE KASALALI: JIMBO LA SUMVE HATUNA HATA MILIMITA MOJA YA LAMI, TUMECHOKA! Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Emmanuel Kasalali amechangia, April 4.2024 Bungeni jijini Dodoma ambapo katika mchango...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Ninaamoni katiba ingelikuwa ni bora, inayotoa fursa sawa ya uhuru wa mtu kuamua, kuchagua na kumpata mgombea anayemtaka, washamba ndani ya ccm mngefanya maamuzi na maamuzi yenu yangepata ushindi...
1 Reactions
2 Replies
315 Views
Wakuu TEAM Lowasa ocampo four Pasco na wengine Friends of Lowassa. Je kuna ambae anayo ile hotuba aliyoitoa Lowassa pindi anapojiuzulu uwaziri? Naomba mtu mwenye access nayo a copy na kuweka...
4 Reactions
27 Replies
14K Views
Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki...
1 Reactions
6 Replies
423 Views
Anasema baba yake alifungwa kwa kuwa na Colgate yaani dawa ya meno utawala wa Nyerere. Kuja mzee Mwinyi mambo yakabadilika Hii ni Sawa na Mkapa vs Kikwete Magufuli Vs Samia
5 Reactions
105 Replies
4K Views
Tanzania inawafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara wengi tu. Kwenye kila nyanja kuna wanaofanya vzuri ambao hupaswa kuigwa,kuinuliwa na hata kutazamwa kwa jicho zuri! Kwakuwa Tanzania ni nchi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni...
6 Reactions
9 Replies
889 Views
Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami. Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna clip inasambaa kwamba wananchi wameitwa kwa Mhe. Rais huko Zanzibar kupewa zawadi ya Idd, mmoja wa wananchi hao ameonyesha kukerwa na kitendo cha kupewa bahasha yenye Tsh. 5,000 akidai hata...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo...
1 Reactions
3 Replies
344 Views
Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha. Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi. Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini. Sasa CCM inaweza...
5 Reactions
21 Replies
894 Views
Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao...
1 Reactions
80 Replies
2K Views
Mzee Makala natabiri atakaa kwa muda mfupi sana kwenye nafasi mpya. Changamoto kubwa iliyopo ni kukalia kiti cha mtu anayeamini yupo sahihi na anaweza kuliko wote. Team Makonda are not happy na...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA. Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani...
13 Reactions
99 Replies
5K Views
Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha! Wengine si...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom