Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuzaliwa tu DSM hakukufanyi Kuwa Mtoto wa Mjini kwa maana ya MJINI au Mission Town Wazaliwa wengi wa DSM ni walugaluga waliopitiliza na mifano ni mingi tu tukianza na Manara aliyezaliwa Kigogo na...
3 Reactions
8 Replies
626 Views
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika Hili suala haina...
13 Reactions
220 Replies
12K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi...
30 Reactions
169 Replies
9K Views
Nimesikitishwa sana na mavazi (sare) ya viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa kinachoitwa Mbio za Mwenge, kwa nchi masikini kama hii inayoomba omba kila mara kutumia hela za umma ili...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Wafu wengi wanashindwa kumwelewa Dkt. Biteko, lakini wale ambao wanajua maana ya uongozi wanatambua kipaji alicho nacho kijana huyu. Tanesco imepata kiongozi na tanesco chini ya biteko inakuja...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Zanzibar na Oman. Rais Alhaj Dk.Mwinyi amesema...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimemsikia Makala akitamba Kuwa yeye kazaliwa Mivinjeni Kilwa road so hakuna wa kumbabaisha Mongella amesema yeye kazaliwa Kariakoo kwenye makao makuu ya Saigon so hakuna wa kumtishia Kumbe...
2 Reactions
19 Replies
723 Views
WAZAZI SIMAMIENI MAADILI YA WATOTO WENU - MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLA Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wazazi na walezi kuwasimamia vyema watoto wao na...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Hii safu mpya iliyoingia CcM inachokosa ni Agenda. Haiwezekani mkutano wa kwanza kwa umma usiwe na issue za nini watafanya kwa wananchi katika kuzisimamia serikali. Unapokuwa na kikao cha kwanza...
5 Reactions
5 Replies
627 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can? Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010. Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi...
3 Reactions
81 Replies
3K Views
Uchaguzi wa Chadema Mkoa wa Iringa umefika patamu, baada ya Emmanuel Chengula ambaye Ushawishi wake kwa wapiga kura unatisha, kuchukua fomu ya kuomba Uenyekiti wa Mkoa. Chengula anatarajiwa...
2 Reactions
11 Replies
639 Views
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kenya iko wiki ya pili ambako madaktari wa Hospitali zote za serikali nchini Kenya wamegoma .Hospitali tupu hazina madaktari wala wahufumu wa afya Kutokana na mgomo wa madaktari nchini Kenya...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Watu wengi tuna picha tofauti juu ya wanasiasa hasa wa Afrika. Binafsi ningependa kuwashirikisha jinsi ninavyowaona wanasiasa. Huenda nina tatizo ambalo linahitaji msaada. Hata hivyo ninaamini tu...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Back
Top Bottom