Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki...
4 Reactions
8 Replies
687 Views
Neno la Kuhuzunisha la Wanazuoni wa Tanzania: Janga la Kitaifa (Imetafsiriwa kwa kutumia Akili Tarakilishi) Baada ya kupata uhuru wake, Tanzania iliweka njia kubwa kuelekea mageuzi ya elimu ya...
0 Reactions
9 Replies
403 Views
Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola. Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la...
4 Reactions
26 Replies
935 Views
Nawakumbusha tu Chadema na Washirika Wenu wa Vyama vya Upinzani Huyo ndio CPA Amos Makalla msimchukulie poa Jumaa Mubarak 😄
2 Reactions
13 Replies
688 Views
Mwenyekiti wa CCM Rais Samia amesema Katibu Mwenezi wa CCM ya Samia anatakiwa Kuwa Mtu ambaye Vyama vya Upinzani vinahofia kufanya naye Mdahalo kwa Sababu Anaaminika zaidi, ana Taarifa zaidi na...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Hivi kweli google inaweza kuandika kwamba nchi fulani uwanja wake wa ndege au labda mgodi fulani umechukuliwa kwa sababu za madeni ya nchi ? Hebu msikilize hapa Makalla huenda ukamuelewa
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Tayari umeapa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na wewe sio mgeni kwenye kazi ya ukuu wa Mkoa ulishaitumikia hapo mwanzo wakati wa Hayati Rais Magufuli. Sasa napenda kukushauri hili. Enzi za Magufuri...
3 Reactions
3 Replies
523 Views
Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amechangia Bungeni Jijini Dodoma, leo April 4,2024 ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuzungumza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi Mbunge wa Ushetu (CCM), Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Nishati kutoa ruzuku ya gesi kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Wana JF. Si kwa nia mbaya maana waturuki wametoa ajira lakini kuna haya. Waturuki wamekuwa wakizunguka mitaani na bajaji wakikopesha vyombo mbali mbali. Msala wangu kwao ni kwamba, nani ametoa...
27 Reactions
108 Replies
5K Views
Habari wadau! Mnayemfahamu kindaki ndaki RC wa Dar Es Salaam mheshimiwa Amos Makalla naomba CV yake tafadhali. Je, ni mtu wa aina gani ,maana jiji lilipoa sana baada ya kuondoka Makonda, na yule...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Sijawahi kumkubali huyu jamaa but huwa ninakuwa inspired sana na Confidence yake , shyless guy, na anayependa kuona mambo yanatokea. Nimemtazama wakati anaapa, huyu jamaa ana kitu cha kipekee...
8 Reactions
12 Replies
677 Views
Wakati Raisi akiapisha viongozi wapya siku ya jana nilifurahi sana Raisi kuapisha vijana wadogo katika nafasi kubwa za uongozi badala ya kuona kila wakati akiapisha tu vikongwe kwenye nafasi za...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza...
25 Reactions
123 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hii ndio hasara ya kupata wawekezaji madalali ambao hawana uwezo bali wanapiga Cha Juu na kusepa. -- Mbunge wa Sengerema (CCM), Hamis Tabasamu amelalamikia changamoto ya mgodi wa Nyanzaga kuuzwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania hadi sasa imetumia jumla ya Shilingi Trilioni 10.69 kwenye Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kama sehemu ya miradi mikubwa ya nchi. Akitoa ombi kwa Bunge kuunga mkono jumla ya...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo: i) Amemteua Mhe. Jaji Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom