Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa...
7 Reactions
37 Replies
950 Views
Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu...
17 Reactions
54 Replies
3K Views
Zitto Kabwe akiwa Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA alikuwa na Sifa zote ambazo Mwenyekiti wa CCM Dr. Samia anatamami awe nazo Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi (Kuamika, Kuwa na Taarifa, Maarifa na...
2 Reactions
10 Replies
675 Views
Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende. Amesema akihitimisha ziara...
1 Reactions
7 Replies
813 Views
Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea kutoa darasa kuhusu kuijua katiba ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa...
21 Reactions
67 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu Vunjo - Moshi MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ametembelea Kata ya Kirua Vunjo Kusini na Kirua Vunjo Mashariki zilizopo tarafa ya Vunjo Magharibi kwa...
0 Reactions
3 Replies
491 Views
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI...
6 Reactions
66 Replies
12K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka,jasiri muongoza njia , simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo...
24 Reactions
133 Replies
11K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa Hili hapa ndio Tangazo la IDU ---- The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana...
53 Reactions
1K Replies
88K Views
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini...
7 Reactions
102 Replies
5K Views
Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye...
2 Reactions
192 Replies
7K Views
Hili ni Swali ambalo Watanzania tunapaswa kujiuliza , kwamba kwa miaka mingi ofisi ya CAG imejitahidi sana kuanisha mapungufu , Wizi , upotevu na Uchafu wote unaofanywa kwenye mashirika na idara...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Nimepata kumsikiliza waziri Bashe katika kujitahidi kukiinua kilimo nchini. Anabidii nzuri lakini nadhani anapaswa kupewa washauri wazuri wanaojua biashara ya kilimo sio tuu kulima. Binafsi...
2 Reactions
2 Replies
368 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema Ufashisti na Udikteta una sura hii Serikali kutaka kujua na kudhibiti kila kitu wafanyacho wananchi Unasajili Vikundi vya Kufa na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo 31/12/2023 tunauaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024, hivyo naomba nianze makala yangu hii ya kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2024 kwa rai moja tuu, "Mwaka 2024 ni Mwaka wa...
9 Reactions
72 Replies
2K Views
Jamiiforums is where we dare to talk openly! Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya...
8 Reactions
261 Replies
69K Views
Ni jambo la busara tume ya uchaguzi ikaangalia na upande wa kupunguza majimbo pia badala ya kuyaongeza tu kila wakati, wajibu wa kugawanya majimbo ina maana ni kuyaongeza na kuyapunguza pia...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom