Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi...
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa...
10 Reactions
681 Replies
73K Views
Akichangia hoja ya escrow ameonyesha tofauti ya kuwajibishwa kwa Lowasa na Pinda anaependekezwa kuwajibishwa.
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Msemaji wa CCM ametoa kauli hiyo wakati akiwajibu viongozi wa Chadema waliojifungia siku 3 wakijadiliana kuanzishwa kwa UKUTA. Amesema serikali ya Magufuli haitarudi nyuma kwenye mapambano dhidi...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka amesema kunusurika Kwake kuuawa na Wahuni siyo kwa nguvu zake bali ni Nguvu za Mungu wa Mbinguni Ole sendeka amewaambia Wapiga kura wake Kuwa yeye binafsi alikuwa...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mbunge wa Nzega vijijini amewaasa vijana wapambane kutafuta maisha na kama wanahisi Bungeni kuna hela basi wagombee na wao Unadhani ni rahisi tu kuingia Bungeni? Amehoji Dokta Karma unaona Kule...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashirikishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu...
65 Reactions
223 Replies
31K Views
02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa...
2 Reactions
4 Replies
655 Views
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu. Na kama...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema. Umeme ulikatika karibia nchi nzima. Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala. Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii...
8 Reactions
92 Replies
3K Views
Shalom, Ni ajabu sana siku hizi huwezi kusikia kauli kama serikali ya CCM, utekelezaji wa ilani ya CCM, serikali imeleta. Utasikia kauli za kipumbavu kwamba Rais amefanya, Rais ameleta upumbavu...
2 Reactions
6 Replies
336 Views
Kwa namna alivyo na ushawishi kwa wananchi wa Tanzania kwa sasa hakika Makonda ndiye mwenezi mwenye mafanikio kuzidi wote.
2 Reactions
3 Replies
344 Views
Tafakari namna Hamas walivyoleta mabadiliko Ndani ya Israel kwa kujiingiza kwenye Shirika la Misaada la UN na kufanya kile walichofanya October 7 Hii ni Dunia ya Akili mpya inayokwenda Kasi Sana...
3 Reactions
10 Replies
426 Views
Ndugu zangu, nawaslimu Kwa upendo mwingi sana. Nimefatila sana mijadala mbali mbali tangu Makonda ateuliwe kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mijadala mingi inaonekana kumdhihaki na wengine kutoa...
3 Reactions
18 Replies
814 Views
Ni Mwanasheria Nguli saana. Mwanazuoni wa kupigiwa mfano. Mwanaharakati na mtunzi wa vitabu. Ni Mwanasiasa mzuri na amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom