Shalom,Salaam!!
Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo,
Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea...
Ndugu wanajukwaa habari zenu.
Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama.
Imekua kasumba...
Silaha ya kivita inamilikiwa na serikali Ole Sendeka kashambuliwa na silaha ya kivita ila anadai waliomshambulia si serikali. Katika mazingira hayo nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo:
🔷Sasa...
Kwa hili lililojitokeza la tengua pangua wananchi wa Mwanza tutakukumbuka sana CP Makalla kwa muda mfupi umeonyesha weledi na umakini wa kushughulikia miradi ya hapa Mwanza ie uwanja wa ndege...
Kwako kichele CAG
Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa...
Zanzibar ni sehemu ya muungano hata kama ina katiba yake lakini bado ni sehemu ya Tanzania ambapo serikali haina dini
Ukilisoma tamka la serikali kwa umakini utagundua kuwa hakuna walichokemea...
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio...
Kwanini Regional Commissioner(RC)na District Commissioner(DC) huwa wanaitwa mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya badala ya Kamishina mkuu wa mkoa na Kamishina mkuu wa wilaya?
Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.
=====
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu...
Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo.
Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata...
Siasa Siyo Uadui
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Lema amemtumia Salamu za Pasaka Njema Spika mstaafu wa Bunge la JMT
Katika salamu hizo Lema ameambatanisha Picha ya Ndugai yenye maneno...
Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics.
Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
Aliyesema Watanzania wanahitaji miaka mitatu ya kupewa elimu juu ya katiba wala hakukosea japokuwa watu walimuandama sana. Binafsi nadhani alitakiwa aseme zaidi ya miaka kumi kabisa
Kwanini...
Imekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa...
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda...
Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewasihi wananchi wasiwapigie kura viongozi wanaotaka madaraka kwa rushwa, na kwamba wakipewa rushwa wapokee lakini wasipige kura kwa...
Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka...
Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika...
Kwema Wakuu!
Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai.
Sasa...
Kwanza nchi zote Duniani zimejengwa na watu imara yaani strong men. Hakuna hata nchi moja iliyojengwa na watu dhaifu. Makonda wewe ni mtu imara, kila nikikuangalia na kukusikiliza moyo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.