Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi...
6 Reactions
13 Replies
715 Views
Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza...
23 Reactions
104 Replies
6K Views
Kwa namna tunavyoenda, hakika nchi hii tutaendelea kunung'unika na kulaumiana milele na kuwataja wenzetu wa mahali pengine Duniani wanavyosonga mbele. Sababu mojawapo kubwa ni kwamba hatutaki...
3 Reactions
17 Replies
910 Views
MBUNGE MAVUNDE KUWAPATIA MEZA NA VIFAA VYA KISASA MAMA LISHE WA STENDI KUU YA MABASI DODOMA - Atatua mgogoro wa wamachinga na Mama Lishe kuhamishwa - Ashauri wasiondolewe katika maeneo yao kwa...
2 Reactions
12 Replies
506 Views
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na...
21 Reactions
249 Replies
11K Views
Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Toka Rais Samia ameingia madarakani amekuwa na mwendo wa panga pangua nyingi kutoka kwenye Chama hadi kwenye serikali yake, Panga pangua zake amekua akizifanya kwa mantiki ya kufanya maboresho na...
9 Reactions
66 Replies
3K Views
Magazeti yanayoheshimika hapa Tanzania yote yamekuja na habari tajwa hapo juu. Hii inahitimisha ubishi wa jana ya kuwa Zitto ameshindwa kutaja majina ya wahujumu uchumi hao hapo jana Mwembeyanga...
2 Reactions
224 Replies
42K Views
Ndugu zangu Watanzania, uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya Watanzania...
12 Reactions
501 Replies
17K Views
Utakubaliana na mimi kuwa CCM inayumba sana kwa sasa kutokana na nafasi ya katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo taifa. Kila aliyeshika hiyo nafasi, kama hakupwaya basi aliishia kuwagawa wanaCCM...
5 Reactions
6 Replies
742 Views
Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa. Bila kuwa...
0 Reactions
6 Replies
471 Views
Huyu jamaa anafanya Micromanagement, ukiwa na kiongozi mwenye hizi Character, ngumu kutoboa. Nilidhan Biteko ni akili kubwa angedeal na tatizo once and for all kutatua tatizo la umeme. Tangu...
17 Reactions
70 Replies
3K Views
Mshirika wa karibu na Waziri wa zamani wa mipango madam Judith Tuluka ameteuliwa na Rais Felix Tchisekedi kuwa Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke Nchini DRC. Madam Tuluka ataunga Baraza la Mawaziri...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeona nianze kwa kuweka mstari huu wa Biblia kwa kuwa Magufuli anamweshimu Mungu na kwa kinywa chake amekuwa akikiri kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi pia nimependa niendelee...
21 Reactions
47 Replies
4K Views
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
54 Reactions
304 Replies
27K Views
Hebu msome hapa halafu Tafakari Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini? --- Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara...
7 Reactions
87 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Bar Maarufu ya Kipong ya jijini Arusha ,John Casian bado anashikiliwa na polisi Arusha, kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria huku kimada...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Alipokuwa waziri Singida United iling'ara, alipotolewa uwaziri Singida ilishuka daraja, ikapigwa faini kwa kukosa hela hadi ikaenda daraja la 2 la 3 au la 4 timu ilifilisika, mara ikaibuka timu...
32 Reactions
84 Replies
8K Views
Kwenye masuala ya management, tunasema mafanikio yoyote yanategemea aina watu ulio nao. People are the hub of the success wheel. Aina ya watu ulio nao ndio wanaamua kampuni/taasisi/serikali...
22 Reactions
61 Replies
2K Views
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom